Utani huu vipi jamani?

Duh pole mamaangu utani wa hivo haufai, moja tu nakupenda my mom kujiamini love you...
 
Kwahiyo unaona raha utugombanishe kama jogoo we refa.

Kweli thread ya utani

Sa kwa nini mgombane jamani? Unamaanisha we ulikuwa hujui kwamba nina mume?
 
Heeeee my dady Ntuzu njoo umwone huyu uje na nanii yako kabisa......



Nimekuja mami nani tena analeta fujo nifanye mazoezi ya kulenga na ile AK47 yangu mpya?

Alafu my douta muulize mama yako Yule aliemchukulia sim ni KE au ME?
 
Last edited by a moderator:
Nimekuja mami nani tena analeta fujo nifanye mazoezi ya kulenga na ile AK47 yangu mpya?

Alafu my douta muulize mama yako Yule aliemchukulia sim ni KE au ME?

Nimejitoa kwenye ligi Ntuzu mke wako sio nilidhani natongoza mtoto wa form four kumbe mtego
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…