Utando Mweupe Wakati wa Kujamiiana....(Ishara ya Uaminifu ndani ya mahusiano)

Kwani anaejiita njiwa yeye ndege.
Kwani anaejiita kongosho yeye ni kongosho
Kwan we ni default kweli.
Hakuna anaenipangia kwa hilo...changia mada then Sepa.
Wote humu mna ID za uongo na Picha za Uongo.we kwangu Ndo unaona pa kuuliza na mapovu juu.
ishu sio hayo yote ishu ni kuwa wewe ni aunt zubeda au?au wewe ni punga?angalieni izo avator zenu na maada mnazoleta jamvini vinginevyo mtaishia kupondana hapa weeee na kupeteza maana ya uzi mzima
 
Kujiswafi kwake kunahu sana hapa.
mnapo du kila siku inaamanisha mwanamme anatumika kama kitendea kazi cha usafi, so uchafu unaisha
Anapokaa muda mrefu ucchafu una-accumulate tena hadi mwanamme akamsafishe.
Kama smell ni tofauti na mbatata 'be eyes'
@Kongosho nakuita huku PM....
 
sasa zubeda, nilipo kuwa nakutongoza mbona hujaniambia kama wewe ni dume? Unajua huo ni unyanyasaji wa kijinsia? sio vizuri bana. au umejichanganya id ukaona ukaushe?
 
Yaani humu JF kuna majina..... Zubeda (me) Kongosho (ke) teh teh te teh
 

Kazi kwenu wenye utando...:nerd:
 
Siyo uchafu huo,hutokea pale msichana anapokaa muda mrfu bila kusex,ila kama ana sex mara kwa mara huwa hauonekani.
This is not true mkuu, ule utando hauna uhusiano wowote na habari za kufanya au kutokufanya. Labda huyo wa kwako ni exceptional.
 

Huyo gal wako aidha ni mchafu au mgonjwa, maana kama siyo mgonjwa utando mweupe ni chafu wa kawaida ambao hufanyiwa usafi.
 
Kaka Zubeda, huyo demu wako hajioshi vizuri huko ukeni,
Mwambie awe anajiswafi vizuri na kutoa mtoko wote huko ukeni na hata akimaliza kujamiiana nawe awe anajiswafi vizuri la sivyo atakuwa ananuka.
Pia mwambie aende akaangalie fangasi kama wadau walivyosema hapo juu. Isijekuwa unachekelea kumba fangasi ndio wanasababishwa hivyo huku wewe unashangilia ya kuwa huibiwi!!!

:loco:Lakini nisiseme sana yawezekana wewe pia unafurahia dudu lako likitoka huko kujaa utoko wa demu wako:loco:
 

Hakuna haja ya kupika mboga siku iyo maana mkeo ni maziwa ya mgando,so nikupika ugali tu.
 
Jina na avatar vinaendana lakini vinapingana na madai yako kuwa wewe ni mwanaume....otherwise una matatizo...
1. Kwanini utumie jina la kike?
2. Kwanini uweke avatar ya Kike?

Ukinipa majibu ya kuridhisha nitarejea hapa kuchangia hoja yako.

hayo ndo maboflo mkuu!
 

Nashukuru mana umeudhihirishia umma wa jf how malaya you are.
Hope umesema bayana jambo ili umejaribu kwa kux tofautitofauti.

Nakutakia uchunguzi mwema.
 
mweeeeee.... wonders shall never end. yani wewe mwenyewe ukajibunia kuwa hio ndio prove ya uaminifu? pole sn... u still have a long way to go. La muhimu jilinde na magonjwa ya zinaa na ukimwi.
 
Utando huo UMENISAIDIA SANA kugundua pale napokaa mda mrefu na girl wangu hatuja SEX siku tunapokutana huwa UTANDO huo hutoka mwingi sana na hiyo hudhihirisha chumba kilikuwa hakitumiwi kilifungwa..

Siku zote najua wewe mwanamke kumbe dume
JF noma i see
 
Jina na avatar vinaendana lakini vinapingana na madai yako kuwa wewe ni mwanaume....otherwise una matatizo...
1. Kwanini utumie jina la kike?
2. Kwanini uweke avatar ya Kike?

Ukinipa majibu ya kuridhisha nitarejea hapa kuchangia hoja yako.

I see kazi ipo
 
mweeeeee.... wonders shall never end. yani wewe mwenyewe ukajibunia kuwa hio ndio prove ya uaminifu? pole sn... u still have a long way to go. La muhimu jilinde na magonjwa ya zinaa na ukimwi.

Hata akiwekewa dawa ya mswaki atakuja naripoti kama anazotuletea leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…