Utamu

utamu wa uswazi vituko, utamu wa gesti chabo, utamu wa pombe kurudisha chenji, utamu wa jangwani mafuriko, utamu wa kuwanga kushikwa aaaagrr bando limekata, utamu wa nyumba isio na singibodi kelele za ngono.
 
Ngoja nimalizie:
3) Utamu wa Facebook --- Mapenzi
4) Utamu wa Mapenzi ---- Katoto akiwashangilia (nyie mnafikiri kanalia) Nyieeeeeeeee! nyieeeeeeee! endeleeeeeni!

Je nimepata au vipi
 
Utamu wa JF post za kijinga kama hizi...hasa kwenye jukwaa husika!
 
Back
Top Bottom