klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,147
Uko na pointi ya haja mkuu, unajua samtaimu ukisoma magazine tu kama uko serious unaweza ukaibua elimu ya haja kabisa lakini kwa waafrika wengi hiyo ni ishu bana na ndio maana nikakukweza mazee kwamba wewe uko na bidii kiaina yaani.Mimi nafikiri sio kwamba mie niko fiti vibaya sana, ila labda watu wengi ama hatuna ufiti wa kawaida tu, au tunao ila hatutaki kuchangia sana. Kiasi kwamba mtu akimwaga vitu vya kawaida tu tayari anaonekana "jiniasi".
Kuna siku, years back, nilitoa presentation ya Cosmogony high school kama mwanafunzi, hata mwalimu mwenyewe aliniambia kwamba hajawahi kusikia kabisa mambo hayo (alikuwa wa social sciences/ comm skills so that is somewhat to be expected). Lakini unyamwezini high school kids my age waliokuwa wanaperuzi Newsweek na kumsoma Frank Drake walijua hayo, kwa nini na sie tusijue?
Vitu gani unaongelea hivyo?
Uko na pointi ya haja mkuu, unajua samtaimu ukisoma magazine tu kama uko serious unaweza ukaibua elimu ya haja kabisa lakini kwa waafrika wengi hiyo ni ishu bana na ndio maana nikakukweza mazee kwamba wewe uko na bidii kiaina yaani.
Kuna siku ulikuwa uunaongelea manyago flani ya Angani, mzee sikuelewa kitu nikaingia mitini lakini nikakuona umewabamba washkaji wanapapatua
My definition ya utamu: utamu is any feeling that result from a positive stimulus of one of our senses, or emotions...Toa definition ambayo si example.
Halafu si kweli kwamba "an example is supposed to be an illustration that could be applied to any context of the concept in order to apprehend it."
Unaweza kutoa picha ya mwanamme mweusi kama mfano wa mtu, mfano huu uko tofauti na mwanamke mzungu, ingawa wote ni watu.
furaha ni matokeo chanya ya hisia... hivo ni utamu pia..Hivi furaha inaingia kwenye utamu?
My definition ya utamu: utamu is any feeling that result from a positive stimulus of one of our senses, or emotions...
So your "example/definition" covers part of the concept... you can do better...
furaha ni matokeo chanya ya hisia... hivo ni utamu pia..
Kuna positive stimulus nyingine husababisha kudinda (ashakum si matusi) ambako kunaleta maumivu (e.g mkuyati/ viagra).
Hayo maumivu nayo ni utamu?
Brain cells can be excited positively by electric shocks, hiyo feeling ya electric shock nayo ni utamu?
Who can do better now?
Because my definition is complete ( I hope), it covers all the aspect of utamu (I think), metaphoric or not...Furaha inaweza kuzungumziwa kama utamu kama metaphor tu. Utamu ni ladha inayoweza kuonjwa kwa ulimi tu kama nilivyoeleza hapo juu (sukari/asali/muwa).
Vingine vyote ambavyo havina ladha hiyo, vikiitwa "utamu" ni kutia nakshi lugha kwa metaphor/simile/ analogy.
Because my definition is complete ( I hope), it covers all the aspect of utamu (I think), metaphoric or not...
Na Utamu wenyewe ni pale ambapo the recipient defines it as such. kwa hiyo mtoto wa kiume akidinda (ashakum si matusi pia), ikiwa atafurahia atakua kapata utamu. akiumia basi sio utamu... Brain cells zikiwa excited positively AND some or all of the 5 senses ziwe excited positively in the process, basi ni utamu. vingine itakua sio utamu... π
you are still to tell me what is utamu to you (mischievous smile)
Exactely! who am I to define utamu na uchungu wa Globu? all I can do in this thread is to tell him how to recognize utamu au uchungu... what is "barafu"? what is "is"? lol1=2=3=4 et cetera, depending on the mood of the observer.
Then why call 1 as 1?
Wewe unachosema ni kwamba hakuna utamu wala uchungu. Utakachoamua kwamba ni utamu, ndicho utamu.
Halafu hata definition yako ya "positive stimulus" ni mfano tu, kwa sababu kwa mujibu wa definition yako mwenyewe, mwingine anaweza kuwa anapenda "negative stimulus" akaiita utamu.
Unaona unavyojichanganya sasa? Liberal Arts kwa kipimo dada, mwishowe utakuja kutuambia "moto ni pale utakaposema moto, hata barafu unaweza kuiita moto"
Exactely! who am I to define utamu na uchungu wa Globu? all I can do in this thread is to tell him how to recognize utamu au uchungu... what is "barafu"? what is "is"? lol
Hahahaha, (what is 'is'?), that was not for Globu... lolHahaha, umezibuka, mara ushatu-Lewinsky na "What is "is"?"
Ma Engineer wa Apollo project wangesema "Who am I to define the fuel needed to go to the moon" wangefika mwezini kweli?
If you are not in a position to define "utamu" to Globu, who are you to tell Globu how to recognize "utamu"?
If your modesty prevents you from defining utamu to globu, it should also prevent you from giving the criteria of utamu to Globu. Otherwise your original modesty was false.
Hahahaha, (what is 'is'?), that was not for Globu... lol
I am giving him a definition that covers the concept. and, as a mater of fact, the definition is linked to the recipient senses and emotions... It is not false modesty, that is my definition. It has the merit of 'fencing' Utamu...
By the way, since we have you on this thread, is there a word for Utamu in any of the languages you speak (that is without Swahili, of course)...
the only one I know is 'elengi' and it is a bantu language too...
I get it that you did not get me... in a nutshell, I said that I was giving him a definition that covers the concept but at the same time the definition was depending very much on his own subjectivity as what is Utamu to me is not necessarly utamu to him. πHalafu wewe hata hueleweki.
One minute "who am I to define utamu to Globu"
The next "I am giving him a definition that covers the concept..."
Contradictions tupu.
I get it that you did not get me... in a nutshell, I said that I was giving him a definition that covers the concept but at the same time the definition was depending very much on his own subjectivity as what is Utamu to me is not necessarly utamu to him. π
The empty space will be known as a cake for as long as nobody else successfully defines what it is...You are quite capable of eating your cake and still having it, after all, you can very easily "define" the empty space left after you eat your cake to be a "cake".
The empty space will be known as a cake for as long as nobody else successfully defines what it is...
What is your definition of utamu? (don't give examples π )
kwa hiyo huezi kuskia utamu kwa kuona, au kwa kugusa/guswa, kwa kufikiria, kwa kuvuta hisia? Incomplete definition, try again.Utamu ni hisia ya (a)ladha fulani ya kitu inayopelekwa ubongoni kupitia ulimi na pua. Huwezi kuhisi utamu wa asali kama ukiiweka shavuni. Shurti mdomoni ili ulimi upeleke ripoti ya utamu. Kwa uhakika kwa vitu vyenye ladha ya sukari tunatumia neno tamutamu.Tunatumia neno tamu kama ladha ni ya kupendeza - kwa mfano chakula hiki ni kitamu ie ladha yake yaridhisha.(b) Mwili kuridhika au kufurahia hali fulani ni utamu pia. Mathalan ukimwamsha mtu aliyelala anaweza kusema:"Siamki sasa hivi, usingizi mtamu sana" Hapa anatumia neno tamu kwa sbb mwili unahisi raha kujinyoosha kitandani.
NAWASILISHA
kwa hiyo huezi kuskia utamu kwa kuona, au kwa kugusa/guswa, kwa kufikiria, kwa kuvuta hisia? Incomplete definition, try again.