msolopaganzi1954
JF-Expert Member
- Nov 20, 2018
- 763
- 381
- Thread starter
- #141
KukojeDunia inakoelekea..
KukojeDunia inakoelekea..
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
HahahahahaHivi watu wa Dar mna nini lakini?
DuuuuuuItakua zile dawa zinachanganywa na amarula.
Miamala naitafuta mwenyewe hizo mambo za kulelewa sio mkuuHehehehe so kwako idea is not miamala ??
HahahahahahaNjaa isikie tu kwa watu..
Kwa watu wazima Hawana Haki ya kupendwaMleta uzi umarioo utaacha lini
Hata mimiMiamala naitafuta mwenyewe hizo mambo za kulelewa sio mkuu
Wako wengi Sana wako Poa, nitafute57 ya USA? Au ya TZ? Maana kwa TZ miaka 57 anatembelea MKONGOJO.
HahahahahahahNimesikitika sana.
Nishawaacha kitamboLugha zao huwa zinakera sana
Ndio maana huwa hazivutii kuzisikia[emoji4]
Baby nikwambie kitu....!
Baby nina Shida, ,,,,,,,,,,,,,!
Baby mwenzio naumwa, ,,,,,,,,,!
Baby nitumie M-pesa, ,,,,,,,,,,!
Baby njaa, ,,,,,,,,,,,,,,,!
Baby nibebee Chips+mishkak
Baby leo sina nguo, ,,,,,,,,,,,,,!
Baby nadaiwa hela ya vikoba
Baby naenda kwa aunt sina nauli
Baby ukija nibebee kuku sio Bata
Baby leo Bata wapi?
Pumbavuuuu kwendraaaaaa!!![emoji53]
Miamala naitafuta mwenyewe hizo mambo za kulelewa sio mkuu
HahahahahaMkuuu hapo juuu anafurahia sana kulelewa
Hahahaha anajikuta Mario kijanaMkuuu hapo juuu anafurahia sana kulelewa
KALI KWELI KWELIHii kali
Hapana JombaaaaaUle muhamala unaopewa ndio mtamu... wala yeye sio mtamu..