Mkorintho wa 6
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 270
- 429
Lugha zao huwa zinakera sanahahaha eti "baby nikwambie kitu"
Ndio maana huwa hazivutii kuzisikia[emoji4]
Baby nikwambie kitu....!
Baby nina Shida, ,,,,,,,,,,,,,!
Baby mwenzio naumwa, ,,,,,,,,,!
Baby nitumie M-pesa, ,,,,,,,,,,!
Baby njaa, ,,,,,,,,,,,,,,,!
Baby nibebee Chips+mishkak
Baby leo sina nguo, ,,,,,,,,,,,,,!
Baby nadaiwa hela ya vikoba
Baby naenda kwa aunt sina nauli
Baby ukija nibebee kuku sio Bata
Baby leo Bata wapi?
Pumbavuuuu kwendraaaaaa!!![emoji53]