Utamu wa tv channels na radio stations dunia nzima

Utamu wa tv channels na radio stations dunia nzima

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,258
Reaction score
22,139
Ndio wakuu habari ya jumapili. Leo nataka ni shee hivi vi softwares vidogo sana lakini vhya ukweli. kama hii easy web tv inakuweza kuchagua channel unayotaka dunia nzima nakuangalia kwa raha zako na tena kama ukiwa na connection ya ukweli ni hadi raha. pia unaweza ukachagua genre kwa mfano unataka channel ya music,movie,sports etc. yani hutajuta kuitumia software hii. pia kuna joobe ambayo inakuwezesha kuskiza radio stations za dunia nzima. hebu jaribu halafu uniambie. Adios wakuu. :Download Jobee-setup.exe from Sendspace.com - send big files the easy way
Download webtve_setup.exe from Sendspace.com - send big files the easy way
 
ndio wakuu habari ya jumapili. Leo nataka ni shee hivi vi softwares vidogo sana lakini vhya ukweli. Kama hii easy web tv inakuweza kuchagua channel unayotaka dunia nzima nakuangalia kwa raha zako na tena kama ukiwa na connection ya ukweli ni hadi raha. Pia unaweza ukachagua genre kwa mfano unataka channel ya music,movie,sports etc. Yani hutajuta kuitumia software hii. Pia kuna joobe ambayo inakuwezesha kuskiza radio stations za dunia nzima. Hebu jaribu halafu uniambie. Adios wakuu. :download jobee-setup.exe from sendspace.com - send big files the easy way
download webtve_setup.exe from sendspace.com - send big files the easy way

swali
ni bure??
 
kabisaaaa. hutoi hata sentano. unachohitaji ni internet connection tu basi
Kwa maana hiyo internet ni bure?je zinakughalimu bite ngapi kwa kila dakika??je kwa watumiaji wa bandle za vimodem vyetu siwatalia mimi sitaki kutumia!
 
Msijeanza kulalamika ooh, Zantel Wananiibia!!
 
Kwa maana hiyo internet ni bure?je zinakughalimu bite ngapi kwa kila dakika??je kwa watumiaji wa bandle za vimodem vyetu siwatalia mimi sitaki kutumia!
mimi mwenyewe hapa na2mia modem ya airtelbut fresh tu. haili bytes kiivo. ruksa pia kuto jaribu
 
Mmh! MWL are you still available to guide me more? it doesn't play ktk computer yangu inaishia kuniambia buffering na inaanza tena lakini sioni kitu
 
Mmh! MWL are you still available to guide me more? it doesn't play ktk computer yangu inaishia kuniambia buffering na inaanza tena lakini sioni kitu

mkuu ikimaliza bufferin kwa 100% inajiplay tu bila matatizo unless tv station yenyewe iwe inazingua. hebu jaribu kuclick pale kwenye entertainment af chagua channel uone. eg fashion guide tv etc. currently najizolea upako kutoka emmanuel tv ya naijeria
 
Mmh! MWL are you still available to guide me more? it doesn't play ktk computer yangu inaishia kuniambia buffering na inaanza tena lakini sioni kitu
kashakuingiza cha kike huyo!!hiyo user name yake inatia mashaka babu wa loliondo???
 
umejaribu ukaona? usikurupuke kucomment mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom