mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,701
Dunia ya sasa sio ya kuita watu waache kazi waje kusikiliza siasa. Hii ni changamoto kwa vyama vyote vya siasa.
Siku moja nikisikiliza na kuangalia mdahalo mubashara ITV madiwani na watu wa serikali za mitaa wanalalamika changamoto yao kubwa wakiitisha mkutano hakuna raia anaekuja au wakija ni wachache sana.(mikutano hiyo ni ya maana kuliko ya kisiasa majukwaani maana wananchi wanaitwa kupanga na kusikiliza mapato na matumizi yao na mambo ya msingi yanayokuhusu)
Muda mwingi watu wako mitandaoni, wanasikiliza radio na kutazama TV muda wanaojisikia na wakati wanaotaka. MITANDAO ya kijamii huko ndio balaa.
Siku moja tunasafiri, kwenye chombo cha usafiri wakagawa magazeti ila lile la chama tawala watu hawakulipenda, nikajiuliza sasa hawa wengine badala ya kulalamika mitandaoni walipaswa kuwa wabunifu kutumia fursa ya kudhani wanapendwa kujitangaza na kutangaza mafanikio yao na ya watanzania wanaowaongoza.
Silihesabu Tanzania kama gazeti la chama hicho maana ni la mtu binafsi ambaye anaweza kufirisika au hata kuhama chama maana ni free being.
Kuacha mizunguko kwa nini, CHADEMA hawana Gazeti, TV, Radio station au Online channels kwenye high traffic social medias kama YouTube na Facebook. Na kama vipo vinaufanisi kiasi gani?