Freema Agyeman
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 3,666
- 3,532
Huyu kweli baharia. Kama kusoma hajui hata picha haoni!
Kha...kweli UPELE HUPEWA MSIKUCHA...Waswahel walinena




Domo zege ma2C kiber100Huyu kweli baharia. Kama kusoma hajui hata picha haoni!
Hii hela imenipigisha sana hii. Utoto bana! Ilikuwa kila nikitumwa dukani mimi nakoncetrate kwenye kumbandua chui na mwanawe!!View attachment 1594475
Shilingi mia mbili enzi za Jakaya Mrisho Kikwete akiwa waziri wa fedha na Rashid akiwa gavana wa benki kuu














