Baba Joseph17
JF-Expert Member
- Jul 15, 2013
- 9,518
- 9,792
kheeeee! Pooouleeee shosti! Mkanye mkeo ajifunze kutunza ndoa la sivyo ndoa itaota mabawaa!
Tumeshakuwa wahenga ndoani wewe kama hukukanywa na wazazi na ndugu zako mumeo hakuwezi si unajua kunguru hafugiki