Utamu wa ndoa kujitunza

Utamu wa ndoa kujitunza

Hakuna raha kama mwanamke kujisitiri. Kujiheshimu na kujali ndoa yako. Mwanamke mpumbavu huivunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe.

Bidada kaolewa lakini simu yake haiishi meseji za wasap anatongozwa na midume. Muda wote anachati facebook na kupost status watsap amebinua makalio. Lol. Muda na mumewe hana. Yeye na wasap, wasap na yeye. Anajirahisisha mitandaoni.

Ndoa ni kujisitiri na kumsitiri mumeo. Penzi ni la wawili na libaki kuwa hivyo siku zote. Majuto mjukuu.
Sawa
 
Back
Top Bottom