Hivi shemeji umeolewa?😀😀😀😀😀
Sijaolewa ShemelaHivi shemeji umeolewa?
Hujui kujiongeza shemeji, sasa unasubiri nini usiolewe?Sijaolewa Shemela
Single mama mimi atanitaka nani?Hujui kujiongeza shemeji, sasa unasubiri nini usiolewe?
Profile aliyoiweka inasadifu tabia zake hata kama siyo yeye maana mtu hupenda kitu anachokihusuduIla kama nawewe nihuyo wa kwenye DP
Basi niseme, Wewe sio mke wamtu, wewe sio Mwanamke kwaajili ya mke wa MTU.
Sasa sijui nikiweke kwenye Udada du???au uslay??? Au vepe
Embu jiweke Mwenyewe kwenye kundi unalofaa mkuu
Kayamalize na baba wa mtoto au alishaoa?Single mama mimi atanitaka nani?
Nakubaliana na wewe asilimia 100% Mkuu.Profile aliyoiweka inasadifu tabia zake hata kama siyo yeye maana mtu hupenda kitu anachokihusudu
AmeoaKayamalize na baba wa mtoto au alishaoa?
Nakubaliana na wewe asilimia 100% Mkuu.
MTU hupendelea kile anachokihusudu.
Ndio ukikuta mwanamke anatetea kuliwa Tgo ...uyo analika.
Ukikuta anatetea uchepukaji...uyo ni sugu...
Ukikuta kama mtoa mada wa Avatar za ivi.. Ndivo alivyo .
Hana Tofauti na Avatar yake.
Pole sana, ningekuwa sijamuwahi mdogo wako ningekuoa ww😃.Ameoa
🙂🙂Aya nawe ujitunze huko ndoanisante jomonii. Hata yako nimeipenda
Na uzee huu wala sihitaji ndoa kwa mara nyingine nalea wajukuu.Pole sana, ningekuwa sijamuwahi mdogo wako ningekuoa ww😃.
Au subiri tukiachana....
Au single bibi?Single mama mimi atanitaka nani?