Utamu wa ndoa kujitunza

Utamu wa ndoa kujitunza

Dada Leti

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2019
Posts
285
Reaction score
397
Hakuna raha kama mwanamke kujisitiri. Kujiheshimu na kujali ndoa yako. Mwanamke mpumbavu huivunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe.

Bidada kaolewa lakini simu yake haiishi meseji za wasap anatongozwa na midume. Muda wote anachati facebook na kupost status watsap amebinua makalio. Lol. Muda na mumewe hana. Yeye na wasap, wasap na yeye. Anajirahisisha mitandaoni.

Ndoa ni kujisitiri na kumsitiri mumeo. Penzi ni la wawili na libaki kuwa hivyo siku zote. Majuto mjukuu.
 
Kuna wenzako humu masaa 24 sio usiku wa manane, sio usiku wa alfajiri sio asubuhi sio mchana, yaan wao na JF, JF na wao.

Kwa mazingira haya kweli watanenepa? Au wanachat sana ili kupunguza unene. Au waume wao wamesafiri? Sijui ni wenye kazi za Usiku tu?

Basi bwana, kila MTU na mambo yake.

Endeleni kutudanganya kua mmeolewa.
 
Hakuna raha kama mwanamke kujisitiri. Kujiheshimu na kujali ndoa yako. Mwanamke mpumbavu huivunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe.

Bidada kaolewa lakini simu yake haiishi meseji za wasap anatongozwa na midume. Muda wote anachati facebook na kupost status watsap amebinua makalio. Lol. Muda na mumewe hana. Yeye na wasap, wasap na yeye. Anajirahisisha mitandaoni.

Ndoa ni kujisitiri na kumsitiri mumeo. Penzi ni la wawili na libaki kuwa hivyo siku zote. Majuto mjukuu.
Ila kama nawewe nihuyo wa kwenye DP

Basi niseme, Wewe sio mke wa mtu, wewe sio Mwanamke kwaajili ya mke wa MTU.

Sasa sijui nikuweke kwenye Udada du? au uslay? Au vepe

Embu jiweke Mwenyewe kwenye kundi unalofaa mkuu
 
Inaonekanwa kuna mwenzio anakunyima raha, tayari ameolewa lakini bado chart yake haijashuka, yupo kwenye wanted list ya wengi tu.
 
Inaonekanwa kuna mwenzio anakunyima raha, tayari ameolewa lakini bado chart yake haijashuka, yupo kwenye wanted list ya wengi tu
Hakuna mtu anayeweza kuninyima raha. Najiamini.
 
msitiri mumeo. Penzi ni la wawili na libaki kuwa hivyo siku zote. Majuto mjukuu.
[/QUOTE]
Kutongozwa hakupo ndani ya uwezo wake kukuzuia. Nafasi yake ni kwenye kusema HAPANA. Mtongozaji ndiye mwenye uwezo wa kuamua amtongoze nani na nani asimtongoze. HII HAIWAHUSU WANAWAKE WANAOJIRENGESHA ILI WATONGOZWE
 
Back
Top Bottom