Utamu wa mwanamke ni upi?

Mambo haya yanatokea nchi gani Mkuu
 
Mimi miguu, yaani mwanamke akiwa na miguu mizuri mashalah.
 
in short mnyaazi mungu ndo alipanga iwe hivyo,ila kwanini mimi sichepuki?natamani sawa ila naweza kujicontrol nikabaki njia kuu
 
Hata kubadili taste ni issue.

Ule usemi utamaliza bucha, nyama ni ile ile, utabakia kuwa usemi tu.

Kama nyama ni ile ile, kwa nini mtu aende bucha ya mbali kwenye nyama "nzuri"?

Ni nature ya mwanaume ku test hapa na pale. Labda awe na matatizo.
Kwenye kuonja onja ndio mnajikuta mnawaonja na wanaume wenzenu
 
Dawa ya M/me asichepuke inabidi umpe kila siku utelezi,manjonjo ya kutosha,kisha kama flat screen ongea na poshi kwini akuepeleke kwa wachina wakuchonge msambwanda na inye.
 
Hii generalization mnaitoleaga wapi wakuu
 
Kama ulimtoa humu JF basi andika maumivu maana humu kumejaa vito.mbi...angalia mada zao .badilisha kiwanja best..
 
Reactions: BAK
Ulivyovitaja vyote unavyo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye kuonja onja ndio mnajikuta mnawaonja na wanaume wenzenu
Hayo tena mengine. Tubaki mwenye hoja yako ya msingi. Ujue hata misambwanda hutofautiana. Ipo dizaini nyingi tu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…