Utamu wa mapenzi ni hivi

Utamu wa mapenzi ni hivi

MTU KAZI

Member
Joined
Mar 25, 2014
Posts
85
Reaction score
31
Ni jambo lisilo pingika kuwa mapenzi ni tunu ya ajabu mno tulo tunikiwa na MUNGU, penzi ni tamu hasa inapo kuwa hivi;

1 ukipata unayempenda na yeye anakupenda

2 Ukiwa unadekezwa dekezwa kimahaba.

3 Ukipata anayejua kupenda na kufariji.

4 Ukipata anayekupatia vizawadi zawadi.

5 Tendo lenyewe la mapenzi ndo hukamilisha utam wa haya mapenzi.
 
huwa haidumu hiyo
 
ya hivi yapogo phillipins pekee
 
Nakushauri ukirudi leo uwahi kulala uendeleze ndo yako nzuri hii.
 
hahaha umeona eeeeeh hadi unahisi ulimwengu ni wako alone

aisee acha kabisa umkute mlieivana kweli yaan unaona dunia yako peke yako na shda zote unahsi zmekukimbia hata kama zmekuandama
 
Back
Top Bottom