Soulja boy
JF-Expert Member
- Oct 3, 2015
- 4,809
- 8,437
Sasa umeoa afu ukanunue tena si bora usioe.Unaenda kununua tu kwani shilling ngapi?
Sasa umeoa afu ukanunue tena si bora usioe.Unaenda kununua tu kwani shilling ngapi?
Wewe ni mbahilKATAA NDOA LINDA AFYA YA AKILI NA ACCOUNT ZAKO👊👊👊
hawasumbui lazima ukweli waujueTulia hapohapo wanakuja mashoga wa kataa ndoa kuja kukupinga kwa nguvu zote
Time ya kufanya nini?Time will tell you inaonekana umeoa sio muda
Wewe ni mBahili au mbinafsiKATAA NDOA LINDA MAISHA YAKO
KATAA NDOA LINDA UHURU WAKO
KATAA NDOA LINDA UCHUMI WAKO
Sio kweliJamaa itakuwa umeoa juzi
🤣🤣🤣🤣Hamjachokana bado,siku mkichokana utaanza kuskia harufu ya beberu
DuuhTendo la Ndoa? Siku hizi watu hawaoi sababu ya tendo la Ndoa hio ilikua zamani siku hizi Ndoa Biashara ni Business as Usual
Kabisa mkuuMtoa mada upo sahihi, japo umeangalia katika angle moja tuu ya Kula tunda kimasikhara...
Ndoa ni Jambo la haraka na heshima.
Vijana oeni, acheni uhuni.
Siku hizi Ndoa ni km umefungua fremu ya Biashara K/Koo sio mapenzi tena ni Biashara mezani una kibunda kiasi gani mabinti hawataki kuzaa wanataka wafanye Biashara sasa unaongeleaje tendo la Ndoa huku mtu anaangalia ukifa unamuachia nini? Business as UsualDuuh
Dunia imebadilika sana lakini haizuii pia kusema ukweli kua NDOA Ni TAMUSiku hizi Ndoa ni km umefungua fremu ya Biashara K/Koo sio mapenzi tena ni Biashara mezani una kibunda kiasi gani mabinti hawataki kuzaa wanataka wafanye Biashara sasa unaongeleaje tendo la Ndoa huku mtu anaangalia ukifa unamuachia nini? Business as Usual
Sawa JEMBEKama unaoa kwa sababu ya kupata ngono, jua hujakua na si muda utakuja kujuta...
Huna AMANIYani nioe kwa sababu ya mchokocho ..?????😑😑
Kwahiyo huku nje unadhani tunapata mchokocho tukiwa kwenye vurugu???
Ajabu ni kuwa, nyie ndiyo mnaoongoza kuleta nyuzi za kuhuzunisha humu kwa kile mnachopitia kwenye hicho mnachoita ni ndoa. 😑😑Huna AMANI
Utamu wa Ndoa mkishavuana mkapigana na mkia wa mbele akili zikiwarudi wote mnaanza kuulizana bei ya unga na anaetakiwa kununua ni wewe sio yeye, business as usualDunia imebadilika sana lakini haizuii pia kusema ukweli kua NDOA Ni TAMU