DR SANTOS
JF-Expert Member
- Mar 11, 2019
- 14,475
- 32,718
NAKAZIAKATAA NDOA LINDA MAISHA YAKO
KATAA NDOA LINDA UHURU WAKO
KATAA NDOA LINDA UCHUMI WAKO
NAKAZIAKATAA NDOA LINDA MAISHA YAKO
KATAA NDOA LINDA UHURU WAKO
KATAA NDOA LINDA UCHUMI WAKO
Tafuta mwanamke UOEStill bado point zako hazina mashiko unafikiri tendo la kutomberana Lina chukua muda gani kwenye masaa 24 ya Kila siku
Ndugu zangu wababa na wavulana wenzangu,
Nimekaa nikafikiri, nikasema ngoja niwape ukweli bila chenga – KUOA ni raha, ni utamu, ni burudani ya moyo na mwili, ila kwa wale walio tayari na wanaelewa maana ya kuwa na mtu wako wa kudumu.
Na sasa ngoja nizungumzie kwa staha lakini bila kujizuia – tendo la ndoa ukiwa umeoa halifanani hata kidogo na mchezo wa kujificha ficha gesti au "naomba usiku mmoja". Huko ni sprint, huku ndani ya ndoa ni marathon.
Kuna utulivu, kuna mawasiliano, kuna kucheza na siyo mashambulizi tu. Mke anajua mapenzi yako, mwili wako, na muda wako wa mabadiliko ya hali ya hewa. Hapa kazi inafanyika kwa hisia na heshima, sio presha ya dakika 10 kabla ya mlinzi kubisha mlango.
Na ukishamaliza? Hamlali mbali. Huna wasiwasi wa "nimtume Uber aende?". Hapo hapo unalala, unashikilia, unacheka, labda mkiwa fiti mnarudi round mbili au tatu – bado ni halali yako.
Kaka zangu, kama bado hujaoa kwa sababu unafikiri ndoa ni kifungo – basi ujue bado upo hujajisoma. Ndoa nzuri ni kama chama cha akiba na mikopo ya mapenzi, unachangia upendo kila siku, faida yake inakuja kwa amani ya moyo, utulivu wa mwili, na burudani ya maisha.
Wanaume wenzangu, hebu tusaidiane:
Wewe ambaye umeoa – ni raha gani kubwa umewahi kuipata ndani ya ndoa?
Na wewe ambaye bado hujaoa – ni nini kinakufanya usikimbilie huu utamu?
Wanaotufanya tuugue ndio hao tunaokataaWote wenye hii slogan tayari wanaumwa akili ni vile hawajijui tu!
Nikiwa mkubwa nataka kua kama wewe.KATAA NDOA LINDA AFYA YA AKILI NA ACCOUNT ZAKOí ½í±í ½í±í ½í±
Umechagua kuwa mtu wa maana kabisaa👊👊👊Nikiwa mkubwa nataka kua kama wewe.
Nimecheka kwa sautiUmechagua kuwa mtu wa maana kabisaaí ½í±í ½í±í ½í±
Kwani ulipata nyuuuzi gani kuhusu mimi🙂Mchumba kumbe upo hai 💪
Nlskia umekufa mpaka tukachanga rambirambi 😎Kwani ulipata nyuuuzi gani kuhusu mimi🙂
naamini rambirambi ulipokea kibaka wewe,kwa kudanganya tunaishi jirani😕Nlskia umekufa mpaka tukachanga rambirambi 😎
Nshaanzisha biashara hukunaamini rambirambi ulipokea kibaka wewe,kwa kudanganya tunaishi jirani😕
Kwanini unawasanua. Waache tufaidi wachacheNdugu zangu wababa na wavulana wenzangu,
Nimekaa nikafikiri, nikasema ngoja niwape ukweli bila chenga – KUOA ni raha, ni utamu, ni burudani ya moyo na mwili, ila kwa wale walio tayari na wanaelewa maana ya kuwa na mtu wako wa kudumu.
Na sasa ngoja nizungumzie kwa staha lakini bila kujizuia – tendo la ndoa ukiwa umeoa halifanani hata kidogo na mchezo wa kujificha ficha gesti au "naomba usiku mmoja". Huko ni sprint, huku ndani ya ndoa ni marathon.
Kuna utulivu, kuna mawasiliano, kuna kucheza na siyo mashambulizi tu. Mke anajua mapenzi yako, mwili wako, na muda wako wa mabadiliko ya hali ya hewa. Hapa kazi inafanyika kwa hisia na heshima, sio presha ya dakika 10 kabla ya mlinzi kubisha mlango.
Na ukishamaliza? Hamlali mbali. Huna wasiwasi wa "nimtume Uber aende?". Hapo hapo unalala, unashikilia, unacheka, labda mkiwa fiti mnarudi round mbili au tatu – bado ni halali yako.
Kaka zangu, kama bado hujaoa kwa sababu unafikiri ndoa ni kifungo – basi ujue bado upo hujajisoma. Ndoa nzuri ni kama chama cha akiba na mikopo ya mapenzi, unachangia upendo kila siku, faida yake inakuja kwa amani ya moyo, utulivu wa mwili, na burudani ya maisha.
Wanaume wenzangu, hebu tusaidiane:
Wewe ambaye umeoa – ni raha gani kubwa umewahi kuipata ndani ya ndoa?
Na wewe ambaye bado hujaoa – ni nini kinakufanya usikimbilie huu utamu?
HaswaaaaUlioa ukaachana na mwenzio?
Brother Kuna watu wanaitaji familia ukisema tukatae ndoa inamaana tuishi kibachela mpk sekunde ya mwisho ya uhai wetu 😃Kataa ndoa
Us*ng* unauona wewe ulieshuhudia, lakini mume hajui lolote na anaendelea kupewa heshima yake kama kawaida.Hujambo? Last week kuna mke wa mtu katombwa karibu wiki hapa mkoani,ndoa ni usenge,kuwa makini
New intakeJamaa itakuwa umeoa juzi
trueNew intake