Utamu wa Kuoa: Hii Siri Mabachela Hawaijui

Hizi ni hatua za awali kabisa za ndoa, baada ya muda inageuka taasisi yenye majukumu mapato na matumizi. Mapenzi mnaweza fanya mara moja moja. But mkiwa marafiki ni buridani mno.
 
Punguza misimamo,kuwa na wengi,kuwa huru usijifunge,timiza wajibu usijitoe mhanga Kwa mke na watoto timiza mahitaji ya lazima halafu iache nature iamue hatma yao,wewe sio Mungu Wala mwamuzi was hatma ya maisha yao,kuwa open minded system!!

Akitaka mwachane mwambie tulikutana ukubwani sio lazima tuishi pamoja milele!!!kila mmoja katoka kwao na tabia zake na ndoa ni majaribio ya ku match tabia TU ikishindikana basi!!!

Ukizingatia hayo hapo juu kituko kiitwacho ndoa hakitakusumbua hasta kidogo!!
 
Wanaume wenzangu, hebu tusaidiane:
Wewe ambaye umeoa – ni raha gani kubwa umewahi kuipata ndani ya ndoa?
Kuzaliwa watoto, kuwalea na kukua nao. Mnacheza mnafurahi. Mkishamaliza mchezo mtakatifu, wife anachukua kitaulo au kitambaa anakusafisha vizuri, anakufunika mnalala au kama mlipata jasho Kidogo mnaenda kuoga mnarudi kulala.

Usingizi unakua wa Amani Sana, huna wasiwasi kuwa anaweza kupita na wallet au Simu. Dah kwa Demu unalala na mashaka , mara ufiche funguo mvunguni, dah miaka Ile niliingia kuoga, narudi Hakuna MTU na hakuna simu.......
 
Kama sababu za kuoa ndio hiyo.
Utapigwa na kitu chenye ncha kali soon
 
Ndugu zangu wababa na wavulana wenzangu,

Nimekaa nikafikiri, nikasema ngoja niwape ukweli bila chenga – KUOA ni raha, ni utamu, ni burudani ya moyo na mwili, ila kwa wale walio tayari na wanaelewa maana ya kuwa na mtu wako wa kudumu.

Na sasa ngoja nizungumzie kwa staha lakini bila kujizuia – tendo la ndoa ukiwa umeoa halifanani hata kidogo na mchezo wa kujificha ficha gesti au "naomba usiku mmoja". Huko ni sprint, huku ndani ya ndoa ni marathon.

Kuna utulivu, kuna mawasiliano, kuna kucheza na siyo mashambulizi tu. Mke anajua mapenzi yako, mwili wako, na muda wako wa mabadiliko ya hali ya hewa. Hapa kazi inafanyika kwa hisia na heshima, sio presha ya dakika 10 kabla ya mlinzi kubisha mlango.

Na ukishamaliza? Hamlali mbali. Huna wasiwasi wa "nimtume Uber aende?". Hapo hapo unalala, unashikilia, unacheka, labda mkiwa fiti mnarudi round mbili au tatu – bado ni halali yako.

Kaka zangu, kama bado hujaoa kwa sababu unafikiri ndoa ni kifungo – basi ujue bado upo hujajisoma. Ndoa nzuri ni kama chama cha akiba na mikopo ya mapenzi, unachangia upendo kila siku, faida yake inakuja kwa amani ya moyo, utulivu wa mwili, na burudani ya maisha.

Wanaume wenzangu, hebu tusaidiane:
Wewe ambaye umeoa – ni raha gani kubwa umewahi kuipata ndani ya ndoa?

Na wewe ambaye bado hujaoa – ni nini kinakufanya usikimbilie huu utamu?
Hilo la pili wengi wao mioyo Yao imegubikwa na makonzi imeishia kubunjika vunjika nakubaki kujisemea wamejikatia tamaa kurudi kwenye lindi la stress hivyo basi kama ww furaha unaipata ni wakati wako pia hongera ambao washatoka ni mpk tufanye maamzi upya kufanya chaguo kila alio ktk situation hiyo Wacha afurahie hilo tendo hapa huu ujumbe unamuhusu yule ambae hajaingia kabisa kwenye ndoa ashawishike Kisha aingie ni Ivo tu
 
Ulioa ukaachana na mwenzio?
 
Ndugu zangu wababa na wavulana wenzangu,

Nimekaa nikafikiri, nikasema ngoja niwape ukweli bila chenga – KUOA ni raha, ni utamu, ni burudani ya moyo na mwili, ila kwa wale walio tayari na wanaelewa maana ya kuwa na mtu wako wa kudumu.

Na sasa ngoja nizungumzie kwa staha lakini bila kujizuia – tendo la ndoa ukiwa umeoa halifanani hata kidogo na mchezo wa kujificha ficha gesti au "naomba usiku mmoja". Huko ni sprint, huku ndani ya ndoa ni marathon.

Kuna utulivu, kuna mawasiliano, kuna kucheza na siyo mashambulizi tu. Mke anajua mapenzi yako, mwili wako, na muda wako wa mabadiliko ya hali ya hewa. Hapa kazi inafanyika kwa hisia na heshima, sio presha ya dakika 10 kabla ya mlinzi kubisha mlango.

Na ukishamaliza? Hamlali mbali. Huna wasiwasi wa "nimtume Uber aende?". Hapo hapo unalala, unashikilia, unacheka, labda mkiwa fiti mnarudi round mbili au tatu – bado ni halali yako.

Kaka zangu, kama bado hujaoa kwa sababu unafikiri ndoa ni kifungo – basi ujue bado upo hujajisoma. Ndoa nzuri ni kama chama cha akiba na mikopo ya mapenzi, unachangia upendo kila siku, faida yake inakuja kwa amani ya moyo, utulivu wa mwili, na burudani ya maisha.

Wanaume wenzangu, hebu tusaidiane:
Wewe ambaye umeoa – ni raha gani kubwa umewahi kuipata ndani ya ndoa?

Na wewe ambaye bado hujaoa – ni nini kinakufanya usikimbilie huu utamu?
Waambie hao!!!😄😄😂
 
Back
Top Bottom