Utamtambuaje mwanamke kama hataki kukuchezea?

jaman habari zenu,kama kichwa cha habari kinavyojieleza, unamkuta mdada anakutega mara kibao mara akae uchi mara alete vzawadi sasa ndo nauliza nitajuaje kama hatanichezea? Yani akinipata alaze na zote! Nitajuaje kama hatanikimbia?

Mwambie nataka tufunge ndoa tena mwezi huu huu. Akikataa na kutoa vijisababu ujue ana nia ya kukuchezea.
 
jaman habari zenu,kama kichwa cha habari kinavyojieleza, unamkuta mdada anakutega mara kibao mara akae uchi mara alete vzawadi sasa ndo nauliza nitajuaje kama hatanichezea? Yani akinipata alaze na zote! Nitajuaje kama hatanikimbia?

siyo akuchezee mchezeane kwa na wewe hutomchezea?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom