Utamtambuaje mwanamke kama hataki kukuchezea?

Utamtambuaje mwanamke kama hataki kukuchezea?

Mwanaume hachezewi, sikiliza wewe ikiona demu anajilengesha we gonga halafu usepe fasta
 
hahhha wee nomaaa!!! umekaa kibiashara zaidi au sio....alimega au ndio aliishia ku imagine tuu?

Alilipia gharama za kuniota!
Unafikiri ni fair, limtu linaridhika kwa kutumia image yako?
 
Muongo,muongo....mwingi wa vibomu...anapenda mkae mlimani city muuze sura na wana kuliko kukaa m-discuss ishu za zenu za msingi....kila saa yupo busy ila akiwa na shida majina matamu yoooote duniani utaitwa wewe...
hahahaaaaaaaaaaaaaa! umegonga mulemule..
 
jaman habari zenu,kama kichwa cha habari kinavyojieleza, unamkuta mdada anakutega mara kibao mara akae uchi mara alete vzawadi sasa ndo nauliza nitajuaje kama hatanichezea? Yani akinipata alaze na zote! Nitajuaje kama hatanikimbia?
mara moja moja na wewe uwe unafanya zile za no string attached.....siyo kila uhusiano unataka kutua, zingine utaingizwa mjini
 
Madem wezi WAKO WENGI sana, nilipata toto hilo lina kila sifa tamu , siku moja likaniambia "naona we huniamini basi chukua simu yangu nami nichukue yako" baada ya dakika 10 tu ikatumwa sms inasema "NJOO GETO LEO NIPO OFF" Usiwaamini wakike hata siku moja
 
usije kuta kuna kitu ndani kuwa makini dada zetu siku hizi wameoza na kama hajaoza basi ana kitu anachoangalia kwako
 
wa ujiji huyu! oh! Kaunga mwambie kabisa kuwa ile nyumba bado iliishia kupauliwa tu!

Muache hajui asili yangu mimi ni mfulero; ile nyumba mbona tutaibomoa maana nataka window seat na at least kafloor kamoja! LOL
 
Last edited by a moderator:
Muache hajui asili yangu mimi ni mfulero; ile nyumba mbona tutaibomoa maana nataka window seat na at least kafloor kamoja! LOL
mimi aminia yeye bana!mambo madoogho sana haya kwa The Boss
we mzee mkomunist af uje hapa ulete zako zile za ukiritimba
ahahahhahhahhahahhahhaa Kaunga mamii ulale unono my dear!
 
Last edited by a moderator:
hakuna mapenzi ya kweli siku hizi.ndiyo maana makahaba wengi wapo cku hizi.hivyo kuwa makini sana
 
jaman habari zenu,kama kichwa cha habari kinavyojieleza, unamkuta mdada anakutega mara kibao mara akae uchi mara alete vzawadi sasa ndo nauliza nitajuaje kama hatanichezea? Yani akinipata alaze na zote! Nitajuaje kama hatanikimbia?

hakuna mapenzi ya kweli siku hizi.kwani kila m2 tmpenda m2 kwa sababu ya ki2.hivyo basi kukukalia uchi sio sababu kuwa anakupenda.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom