Utamtambuaje mwanamke kama hataki kukuchezea?

duh na ww yamekukuta? Maujanja yanatakiwa hapa ni namna gn tujikwamue ktk hili lol

All u need to do..ni kuwa mwangalifu na aina ya mwanamke ambaye unamchagua,utaangalia mwenendo wake..utaangalia hata maongezi yake..ila Mungu pia anahusika sana. Maana wengine ni good pretenders...!
 
Like me, mmoja nilinchezea akanunua gari, kiwanja akajenga alivyopaua tu nikamdiss! LOL
 
Huku kitaa kuna jamaa mme wa mtu kanachezewa kinoma, kuna duu alikuwa ametembea nae baada ya siku kadhaa akamwambia ana mimba ampe laki tatu akaitoe jamaa akachomoa akampa sasa kaduu kamenunua flat screen kanakula bata tu, jamaa hata aelewi.
 
sielewi kwanini bahati kaa hizi hazinitokei, jameni natoa mwaliko wa 'kuchezewa'/
 
Huku kitaa kuna jamaa mme wa mtu kanachezewa kinoma, kuna duu alikuwa ametembea nae baada ya siku kadhaa akamwambia ana mimba ampe laki tatu akaitoe jamaa akachomoa akampa sasa kaduu kamenunua flat screen kanakula bata tu, jamaa hata aelewi.

kiranga chake huyo kakitafuta
 
Huku kitaa kuna jamaa mme wa mtu kanachezewa kinoma, kuna duu alikuwa ametembea nae baada ya siku kadhaa akamwambia ana mimba ampe laki tatu akaitoe jamaa akachomoa akampa sasa kaduu kamenunua flat screen kanakula bata tu, jamaa hata aelewi.

Zinauzwa laki tatu siku hizi au ndo za hu jin tao? Au alijazilizia?

Mi sinunui k hata siku moja
 
kama co kuchezewa huko ni nn? Tuoneeni huruma na sisi jaman lol
 
nauza K; nauza K, nauza K
ni pesa yako tu

vakesheni visiwa vya hawaii pungufu visiwa vya shelisheli unaongea.

Nakuhakikishia hutajuta ina asali ya nyuki wazeee.

Zinauzwa laki tatu siku hizi au ndo za hu jin tao? Au alijazilizia?

Mi sinunui k hata siku moja
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom