God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,788
- 3,028
Leo nataka tufahamu namna ya kuwatambua waadhirika wa ukimwi kwa nje mfano huwa wanakonda, kikohozi kisichokua n kikomo hata nywele kubadilika hata hawa wanaotumia ARVs. huwa ngozi inabadilika japo wanabaki wanene pia vidonda na mabaka kibao.
Hii ni njia awali kabisa ya kumhisi mtu mwathirika ukimwi ila sio ya uhakika wengine wanazaliwa navyo na wako active dalili zinaluja kuonekana after 20yrs+... pia kuna type yawatu ambao hawapati ukimwi hata walale n waathirika wngapi BUT vijidudu vinakua mwilini vina flow hata wakipimwa havionekani so kuna kua hamna reaction kati ya damu na virus kwa kitalaamu nimesahau majina ya hawa watu. hivyo wapendwa tusali sana kwani dunia ngumu Mungu na atulinde kwa kweli na vipimo vyetu huonyesha majibu baada ya miezi mi3 na zaid depending on body immunity ya mtu hapa nako panahitaji maombi na ulinzi wa Mungu.
Hivyo wapendwa natamani tuelimishane pia tuwasaidie na jamii inayotuzunguka kwa kutumia huu uzi. Madaktari, wataalamu mbali mbali na walioyaona haya tupeni utaalamu. vizazi vingi vimepotea kaburini sababu ya vitu vyetu pendwa (mapenzi/mahaba) yanjngono inayosambaza Ukimwi na kuchangia damu.
natanguliza shukrani