Utamtambuaje kama ni rijali?


mimi ni mwanaume ilasijakuelewa yaan sijaelewa ujumbe ulio katika maandishi yako..samahani pia
 
Last edited by a moderator:
hahahahahhaaaaaaaaaaaaaaiya bestito jamani ujaelewa nini hapo sasa?
wewe umekuwa TOMASO jamani ngoja uone kwa picha



waangalie hao wanadondi huyo aliyeangalia hukoooooooo
ladyfurahia mi sijaelewa hii pont muelewesho puliz

wanaume ambao nyuma wamepigwa kitambaa
 
Last edited by a moderator:
Mapenzi hayana fomula, utasema huyu hafai kumbe ndo ana kila kitu mwenzio anataka. Na urijali wa mtu waupimwi kwa nje. Siri ya haya mavitu ni chumbani, ingia ndo utajua rijali, msafi n.k. La sivyo amini Mungu na uwe tayari kupokea chochote utachokuta siku hiyo huko chumbani
 
ooh...it is not my thing
i have been through that road before, nikasema its not my thing. nikajipa so many excuses kupenda ili tu nisiumie moyo.... Nature has its own ways to show u how things should be.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…