Muhimu ni kuachana na masuala yasiyo kuhusu, ridhika na unachokipata,Jiendeleze kwa ujuzi,rudi shule kamilisha ulichokuwa unakitaka, kuwa na maarifa ni tofauti na kuwa na hela tu.
Muhimu ni kuachana na masuala yasiyo kuhusu, ridhika na unachokipata,Jiendeleze kwa ujuzi,rudi shule kamilisha ulichokuwa unakitaka, kuwa na maarifa ni tofauti na kuwa na hela tu.
Aachane na aina zote za gambling sijui sport betting, forex etc maana imekuwa kama kiwanda cha kutengeneza vijana Omba omba wapiga vizinga wasiokuwa na malengo.
Kwenye mahusiano kama unajua mwanamke humpendi chakata uwezavyo ila chonde chonde Usimwagie ndani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.