sikonge samahani kama ntakukwaza... hivi mwana JF akishafariki nivibaya ku-reveal ID yake?Wiki jana, room mate wangu wa shuleni, wakati nikiwa Mazengo amefariki dunia. Hizi habari nilizipata juzi. Jamaa alikuwa ni member wa JF pia ila jina lake la hapa nitaliweka kapuni.
Ningelipenda Remmy Ongalla na kijana wangu Herman Emanuel Nzowa niombe kwa Mungu awape mapumziko mema, Amen.
Wimbo wangu kwao wote ni:
Wimbo wangu niupendao: Ndumila kuwili
YouTube - Remmy Ongala & Orchestra Super Matimila ~ Ndumila Kuwili
sikonge samahani kama ntakukwaza... hivi mwana JF akishafariki nivibaya ku-reveal ID yake?
roja that mkuu, ila kule kwa wapwa ni sawa na sehemu yoyote ya rika, huo uppuzi upo tu, hata jeshini, hostel, bar, mikutanoni nk... kwahiyo usiwe mnyonge wala kutia shaka ya huko kwani kama ulisoma boarding basi waijua betoSifahamu kama ni vibaya. Ila maadamu mwenyewe wakati akiwa hai hakutaka kufanya hivyo, ni bora kuacha kama ilivyo.
Unajua wakati mwingine unaweza kuwa unaandika UPUUZI kwenye majukwaa ya Wapwa.
Sasa wakija kufahamu watoto wako/Wajukuu na ndugu kwa ujumla jina lako, inakuwa Kasheshe.
Ndiyo maana ni bora jina likaendelezwa kufichwa. Ya JF na yabaki JF. Kama aliandika cha maana basi watu wataendelea ku-copy au ku-quote maneno yake Marehemu.
Labda kuna haja watu wawe wanaandika STATEMENT kuwa, wakifariki basi Jina lake halisi litangazwe.
roja that mkuu, ila kule kwa wapwa ni sawa na sehemu yoyote ya rika, huo uppuzi upo tu, hata jeshini, hostel, bar, mikutanoni nk... kwahiyo usiwe mnyonge wala kutia shaka ya huko kwani kama ulisoma boarding basi waijua beto
i hope he was a great JF contributor mkuu
roja that mkuu, ila kule kwa wapwa ni sawa na sehemu yoyote ya rika, huo uppuzi upo tu, hata jeshini, hostel, bar, mikutanoni nk... kwahiyo usiwe mnyonge wala kutia shaka ya huko kwani kama ulisoma boarding basi waijua beto
i hope he was a great JF contributor mkuu