Utamjuaje mke mwema?

Kwa mujibu wa Biblia Takatifu utaona zimetajwa baadhi ya sifa za mke mwema. Someni kitabu cha MITHALI 31:10-29.
 
huyo mke mwema unataka nani akutengenezee..we okota mpnz yeyote zen mformat kulingana na matakwa yako..ukiona aformatiki achana nae
 
Situation zipi hizo Miss Chagga ? BUMIJA sikiliza....
kwa mfano anayekupenda kisa unakazi nzuri au unapesa huyo mwogope ... ambaye atakupenda ukiwa huna kazi wala pesa ila akakusaidia kukupa mawazo ya namna ya kuzipata at list huyo anakufaaa...

mnayesikilizana wakati wa hasira na kujua kushuka huyo oa...

ANAYEJUA THAMANI YAKO KAMA MWANAUME UWE MZIMA AU MLEMAVU ,, UNACHO AU HAUNA HUYO WAKO..

japo kuwa mimi sikubaliani na hayo .. mimi pesa kwanza zikiisha naweza kuisha na mimi :A S shade:
 
Utakaye muoa na ukamkuta bado yuko sealed.

Na seal yenyewe ni ile original aliyozaliwa nayo.

Mwanamke amewekewa ile kitu kwa ajili ya mmewe tu.
 
Ulimwengu huu wa bongo movie v/s bongo flavor, mke ni kubahatisha tu. Enzi za maqus, DDC pack walikua na uhakika na mke.
 
Dah Angalau Naanza Kuelewa Ila Kwanini Wema Hawa Wanachange?
 
Points zote ni 100% indeed.!!
hujui kama pesa ni mauwa huchanuwa na kufifiaaa??!!
 
huyo mke mwema unataka nani akutengenezee..we okota mpnz yeyote zen mformat kulingana na matakwa yako..ukiona aformatiki achana nae

Inawezekana kum-format eeeh!

Basi ni habari njema.
 

Miss Chagga umenena vema.

Lakini paragraph ya mwisho mhuuuuuuuuuuu!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…