Betty Steven
Member
- Mar 8, 2018
- 8
- 10
Habar zenu wapendwa jina ni Betty Steven.
Mwambie atume picha zake mbili kama sheria na taratibu za hapa zinavyoagiza.Mpwayungu Village njoo huku umkute mwanafunzi wako mpya
Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT ufaidi.habar zenu wapendwa jina ni Betty StevenView attachment 2657113
Sawa mkuuMwambie atume picha zake mbili kama sheria na taratibu za hapa zinavyoagiza.
picha ya sura yangu mimi au picha yoyoteMwambie atume picha zake mbili kama sheria na taratibu za hapa zinavyoagiza.
Picha ya sura yako mkuu ndio inafaa ili tufahamianepicha ya sura yangu mimi au picha yoyote
hahahahaaa haya bhana kwamba kuku mgeni hakosi kamba mguuni niniKaribu JF
Njoo PM nikupe maujanja ya jinsi ya kuishi humu JF