Joseph furugutu
New Member
- Jan 4, 2021
- 4
- 45
Bwana Yesu asifiwe wapendwa, mimi ni memba mpya, naitwa Mwl.Joseph Leonard naomba mnikaribishe kama mmoja wa kundi hili, Mungu awabariki sana
Ameeeen...Bwana Yesu asifiwe wapendwa, mimi ni memba mpya, naitwa Mwl.Joseph Leonard naomba mnikaribishe kama mmoja wa kundi hili, Mungu awabariki sana
Ahsante sana rafikiKaribu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT upate kufaidi.
Ahsante sana rafikiKaribu sana mwl Joseph
Mgeni ataogopa aiseesawa mwalimu,
je na wewe ulisimamia uchaguzi wa October 28 ?
Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...
Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us