Utambulisho

Fonimu

Member
May 20, 2018
28
27
Habari zenu Wanajukwaa?

Ninayofuraha kuandika katika jukwaa hili kwa siku ya leo.

Mimi ni mdau wa lugha ya Kiswahili, hivyo ningependa kubadilishana maarifa na wadau wengine kuhusu lugha hii.

Kwa muda mrefu nimekuwa nikifanya harakati za kukieneza Kiswahili, na sasa nimeona ni muda muafaka wa kuwatafuta wadau wengine wa Kiswahili ( Hasa Watanzania) ili kubadilishana maarifa.

Asanteni
 
Hongera kwa kuwa mdau na mpenzi wa lugha ya Kiswahili. Ni kweli siku hizi kuna mambo ya kusikitisha mno kwa vile watu wanavyokibananga. Sasa ndugu, unatafuta wadau wengine kwa lengo gani hasa?
 
Back
Top Bottom