Mawembasa1979
JF-Expert Member
- Feb 26, 2015
- 2,668
- 3,553
Viongozi wa Simba waongo sana. Eti walilipa fedha za usajili kupitia Account ya zamani ya Wydad.Mwisho wa siku mnakuja kusema Ooh GSM ananunua timu pinzani na waamuzi. Aisee jamaa yupo serious na Yanga, ameshaona inamlipa so anaweka pesa kweli na sio maneno.
Hapana, huyo ni mchezajiMtu akishaitwa sele baasi ni tatizo
Uliona mbali mkuuSeleman Mwalimu
Inno Loemba
Neo Maema
Hawa hawakupaswa kubaki simba, wamgetupisha.
Huwez kusukuma nyama au sio 😂Bia mbili mbili bwashee, mambo ya vikojolea nimeshazeeka😅
YANGA wamemsajiri strategically kumdhoofisha Simba, unajua mbinu za vita kweli wewe?. YANGA seleman hawezi kupata hata namba bali kilichofanyika ni kuwatoa Simba kwenye reli... 🤪🤪😂Umbumbu umeisha yanga wauchukua View attachment 3648070
Mkuu ulijuaje mbona ulikuwa mbele sana ya mudaUtambulisho wa Selemani Mwalimu , kwa Simba yangu ni uhuni unaoendelea Simba , msituone sisi ni wajinga nyie viongozi majahili wa Simba
Hivi nikisema Billion 30 Mwamedi anaongopa unadhani huo ni utabiri au fact?Nashauri wanawake wote wa JF mumpe kikojoleo bwana min -me mana ni mtabiri hvy atawatabiria mambo yenu 😎
Ina maana wewe huwezi kugunduwa kama Mwamedi na Magori wake ni matapeli tu?Mkuu ulijuaje mbona ulikuwa mbele sana ya muda
Mashabiki wengi wa simba na Yanga hawana akili timamuHivi nikisema Billion 30 Mwamedi anaongopa unadhani huo ni utabiri au fact?
Kuna wapumbavu walisikiliza porojo za Magori wanadhani ana jeuribya kumsajili Feitoto bila kujiuliza nani wa kumlipa mshahara anaolipwa Azam?
Tajiri mchambaji kama Mwamedi maneno mengi vitendo sufuri kwanza awaeleze Simba zile pesa zilichangishwa kwa simu na Barbara za kujenga uwanja Bunju ziko wapi?
Mtakuha kumuelewa Mangungu baadaye sana, wengi wenu hamjui kama Mangungu ana exposure kubwa, nu muelewa wa mambo ni msafiri kitambo amecheza na watoti wa Kihindi nyumbani kwa Kisutu Libya street hawezi kudanganywa na mtoto mdogo kama Mwamedi kisa ana pesa za Familia.
Hapana. Ila sikuwahi kuajua kama kweli Mo, Magori na Ahmed Ally wanaweza kuidanganya dunia nzima live vileIna maana wewe huwezi kugunduwa kama Mwamedi na Magori wake ni matapeli tu?