Utambulisho wa Selemani Mwalimu, Simba

Ni mbaya sana kuwahakikishia watu kitu ambacho huna uhakika nacho.

Ahmed Ali alituhakikishia kuwa Mwalimu tutakuwa naye. Domokaya kweli yule!
Niliona ule upumbavu, niliishia pale nikazima na simu , nikaendelea na pombe zangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…