FAMILY LAW
Member
- Jul 14, 2012
- 53
- 10
Heshima kwenu wadau..mimi nimekua mgeni kwa mda mrf bila kua na account ila kwa sasa nimeamua kua mdau naombeni malezi yenu na ninapokosea mnikosoe na sio kunitukana kwa kua watu wengine ni wakali sana...shukrani,.. smile ,preta, mwali ni majina niliyoyakariri mda mrf sana.
PLATOZOOM shikamoo japo hata mimi ni mkubwa ninakaribia 30. sijawahi kua na ID humu..mimi ni ke
PLATOZOOM shikamoo japo hata mimi ni mkubwa ninakaribia 30. sijawahi kua na ID humu..mimi ni ke
hehehehe ukipata tatizo ni pm tu, mi msaidizi waPLATOZOOM shikamoo japo hata mimi ni mkubwa ninakaribia 30. sijawahi kua na ID humu..mimi ni ke
PLATOZOOM