Watanzania wote tunajua hakuna hata Watanzania milioni 15 walioenda kupiga kura! Leo hii tunaambiwa eti wapiga kura ni milioni 32 sasa hawa vijana wakichoma nyumba zetu tunawalaumu wakati pesa za mikopo wenyewe ndiyo walipaji. Lakini kuna kizazi cha Watanzania wenyewe ni wa kujiaminisha uongo na ukiwa mkweli kwenye kizazi cha wakina Samia wewe ndiye watakushangaa. Hawa waliozaliwa miaka ya 1960’s na 1950’s ndiyo wanaamini uongo hata kama ukweli upo wazi wachache tu ndiyo wanajitambua. Kuamini uongo wajue kwasasa mwisho unafika watake wasitake na sio kwasababu ya Chadema ni vijana wenyewe