Utamaduni wa uongo! Umetufikisha hapa

Utamaduni wa uongo! Umetufikisha hapa

Tuna shida ya ukweli kama mtoa hoja alivyo sema, binafsi sioni kama tatizo ni la wazee tu, hata vijana bado tunalo sana tu, labda tofauti ni viwango.

Kuhusu namba ya waliojitokeza kupiga kura, wanaweza zidi millioni 2 mfano Zanzbar sioni kama kulikuwa na kususia uchaguzi na wapo above 2 millions. Ongeza na majeshi yamepiga kura hao si chini ya laki 2. Sehemu lkubwa ya watumishi wa umma watakuwa wamepiga kura.

La msingi hapa tuna tabia za kubadili kwa wananchi, pili tujitahidi tupate muafaka wa kuendesha siasa nchini. Na tukiweza tuendelee kuepuka violence kwakuwa haitatatua tatizo tulilo nalo bali huenda ikaongeza shida zaidi kwa maoni yangu. Na nadhani watz wanao uwezo wa kupata muafaka wa kuendesha siasa bila violence, tuna historia hio na uwezo tunao wa kufanya hilo.
Hamna mwenye nia njema ndio tatizo so hii hoja ni ya nadharia zaidi ya uhalisia
 
Back
Top Bottom