Weka ushahidi wako hapa usituharibie uzi kama hujaweka you're among those lesbianistsHakuna uchochezi, ushahidi wa humuhumu kwenye mitandao upo mwingi tu. Ataependa au kubisha nitaweka.
Unasema "uchochezi wa kidini" unamaanisha kuna "dini" imehalalisha ushoga na usagaji?
Chakula ya watu hio Bob.Kha!! Kumbe kweli wewe ni Shoga?!!
nilikua naenda kuachia bomu la.hiroshima..nadhan walijua!ningedisplay
Hahah akiendelea kuleta shobo weka mambo hadharani tu mkuu.nshazoeq ban... nimejiandaa vya kutosha kuhusu ban mie!tuachane naye
Weka ushahidi wako hapa usituharibie uzi kama hujaweka you're among those lesbianists[/QU
😂😂😂👊..tutembee vifua mbereHahah akiendelea kuleta shobo weka mambo hadharani tu mkuu.
Ila naona ameona ishakua soo"amerara mbere kwa mbere",hahah.
One bad thing about lesbianism is that, it takes away two women away from us to ***** aroundone positive thing about gayhood.
they usually take another dude with them henceforth leaving us a plenty choice of women to **** around.
Stop watching porn, it destructive your mind....Two chicks one dude is whats up! Feel soo gud!
Pia Uzi unaweza tengeneza affections kati ya mtu na mtu kwa nia inayoonekana nzuri ama ovu.Nilitabiri huu uzi utazua ugomvi
Teh teh tuko kwenye "light track"..tutembee vifua mbere
Hebu mkilalamika muwe mnatazama mnalalamika nini....Jinsi wanaume walivo... Sometime napata mawazo ya kuwa lesbian ila naogopa
Tusamehe tu.. Wengine faraja ya mapenzi hatuipati.. Tunapenda kwelikweli ila unagundua mwenzio hayupo nawe kama unavofikiria..
Tizama na huyu sasaUmenena
Hebu tusaidie tufahamu mpenzi wangu, mwandani wangu niliyejaliwa na maulanaHizo zote porojo. Usenge (ushoga) na usagaji chanzo chake kikuu ni majumba (makazi) yanayofuga wanaume peke yao na wasiruhusiwe kuoa na yanayofuga wanawake peke yao wasiruhusiwe kuolewa (usagaji).
Si unajuwa wapi yanapatikana hayo majumba?
Ataesema hayafahamu hayo majumba atakuwa ni punguani wa hali ya juu.
Me siwezi kusikia wivu nikisikia unatoka na mke wangu. Ila nitawawekea mtego, nikiwakuta niwapige upumbu kwapa moja halafu nawaoa wote ili mje mfanyie nyumbani vizuri....Hapana sio wazima ndio maana tunawaibia dada zenu na wake zenu bila huruma.
Hili swali linataka hekima katika kulijibu, sina uhakika kama muhusika anasalio la hekima ya kulijibu hili swaliNikuulize swali la kizushi. Hivi hasa nini faida yake ?!. Sisi hua tunaingia kwenye mahusiano kutafuta mapenzi, watoto na wasaidizi. Je huo wa kwenu mnatafuta nini ??!!!
Define mapenzi ya kweli!Mi sihitaji kuridhika tu. Nahitaji mapenzi ya kweli
Kama hauna unakia mkweli unsepa tu
Man umebonga kitu conscious sana aisee, hawa maviumbe wanajifanyaga wanamaind macare nini halafu baadae wanazingua wenyewe. Mi kuna mamzi yangu niliielewa vibaya nikaifanyia maniaje geto full ma flat screen mixer dstv, ma rice cooker freezer niaje Yan ile full. Still analalamika ye anamaind tu kila siku kila muda muwe mnabonga tu kwenye simu na kuchat hajui muda mwingine unasaka Doo au simply unakua off-mood. Ila akihitaji peringo anakucheki fasta mahewani, we mamnzi gani anaomba hela ya gesi leo unamtumia ya kutosha tena zaidi halafu baada ya wiki mbili anakupigia eti anaanza maperiod halafu hana doo umfanyie maflekecheton akanunue pedi kweli? Inamaana hakuanticipate kwamba hayo mamzunguko niaje yanaanza baada ya muda gani akasave mpunga? Mi ndomana naona Bora nikamate mamnzi nipige bwera tuzae lakini mahabari ya ndoa mzee unaweza ukaja juta maisha haya.Define mapenzi ya kweli!
Cause nimeshaona aina hii ya malalamiko na ukimchunguza muhusika unakuja kugundua ana drama nyingi na ndizo zinazomrudisha nyuma kila siku akilalamika kuwa wanaume sijui hawafai ila ni yeye anabehave kwa namna inayowafanya wanaume wasifae....
Unajua ukiona unakutana na sampuli ile ile kila unapoingia katika mahusiano, basi tambua shida ni wewe katika namna inaingia na nani katika mahusino.....
As i argue here.....kuna mdada anapanga na jamaa wake kupata mtoto wa pili na wanapanga maisha and life is very good