Utamaduni wa Kusagana kwa Wanawake: Namna ulivyopenyezwa/Kuenea Afrika na sababu kadhaa za kuenea kwake Tanzania


Random

Random

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2017
Messages
542
Likes
479
Points
80
Age
29
Random

Random

JF-Expert Member
Joined Jan 8, 2017
542 479 80
Salaam!

Kusagana ni kinyume cha ushoga, literatures zinaonesha kusagana ni kwa wanawake na ushoga ni kwa wanaume lkn pia ushoga unaweza kuwa hadi kwa wanawake hii ni kwa sababu mwanamke ana tupu mbili zilizo wazi yani ya mbele na nyuma

Uzi huu kama nilivyoutittle hapo juu ni kinyume cha uzi niliutanguliza kabla ya huu kwa jina ''Utamaduni wa Ushoga kwa Wanaume: Jinsi ulivyopenyezwa/kuenea Tanzania: Sababu 16 za Ushoga''

Nimeona kuna haja pia ya kujua upande wa pili wa uzi ule uliojikita kwa mapana upende wa kiume, kufuatia analysis ya baadhi ya comments zilizopo kule

Maana ya Kusagana

Neno kusagana ni kitendo katika hali ya kutendeana, yaani pande mbili, pande moja kutenda (kusaga) na upande wa pili kutenda (kuasaga) kwa wakati huo huo mmoja, kwa hiyo kusaga ktoka upande mmoja + kusaga kutoka upande wa pili = kusagana

Neno kusagana lina maana ya pande mbili znafanana kusuguana (yaani Papuch kwa papuch) ingawaje kwa dunia ya sasa kitechnologia kusagana kunajumuisha na mambo mengine ikiwepo sexual arousal activities btn woman and woman naturaly or with aid of other materials

Kwanini kusagana sio maaruf sana nchi za Africa na Tanzania in specific?

Hii ni kwa sababu ya nature kwa wanawake kuwa na aibu sana kuweka waz mambo yao ikizingatiwa kuwa wametendeana, yani hakuna aliemzid mwenzake kwa hiyo hakuna kutangazana kama wafanyavyo wanaume

Sababu nyingine ni ngum sana kumtambua msagaji kwa kumuangalia au kumgusa lkn ni rahis kumtambua shoga kwa kumuangalia au kumgusa, hivyo hata habar zao kusambaa ni kwa nadra sana

Sababu ya tatu ni sababu ya soko, wanawake wachache sana ndio wanahitaji wakike wenzao ikilinganishwa na mwanaume ambae anahitaji huduma regardless ni kwa mwanamke au mwanamme mwenzake


Historia fupi ya kusagana Kidunia

Phase 1.
Kihistoria hakuna nyaraka nyingi znazoelezea kwa wingi balaa hili la kusagana kwa wanawake kama ilivyo lile wanaume, zipo nyaraka znasosema kusagana kulianza karne ya 6 huko Ugiriki na baadae kuenea kweny mataifa mengine ya Ulaya na kuenea sehem mbalimbali za dunia, sababu ya balaa hili kutokuwa maarufu kama ilivyo kwa mashoga miaka hiyo ni kwa sababu jamii nyingi hazikuwapa wanawake uhuru katika decisions mbalimbali kama ilivyo kwa wanaume, na walipogundulika wanafanya usagaji basi waliadhibiwa vikali

Kabla ya vita ya pili ya dunia ushoga na kusagana havikuweza kutofautishwa kwa urahis hii ni kwa sababu ushoga uliumeza usagaji, usagaji hakuweza kutamkwa sana kwa hiyo mtu alikuwa akisema neno mapenzi ya jinsia moja (homosexual) mara nyingi alikusudia ushoga kwa wanaume na si kwa wanawake

Phase 2
Baada ya vita ya pili ya dunia ambayo Marekani hakushiriki directly ikawa ni sababu ya Marekani kuibuka as a Super Imperialist Power, kwa sababu hiyo kulipelekea mabadiliko ya haraka ktk ukuaji wa uchumi, serikali ya Marekani na baadhi ya nchi za ulaya zilizopiga marufuku kusagana hilo likapelekea wanawake wengi kuungana na kuwa na networks kubwa kwa ajili ya kutetea maslah yao pamoja na kuelimishana mambo mbalimbali tofauti na awali wasagaji walikuwa hawafahamiani, katazo hilo lilipelekea wengi kujuana na kuwa kitu kimoja. Kwa upande mwingine ukuaji wa uchumi uliokwenda sambamba na maendelo ya kijamii ktk nchi ya Marekani na baadhi ya nchi za ulaya zikawa hazina budi kuukubali ushoga automatically simply becuase economic developend is always alongside social development, mnamo miaka ya mwanzo ya 1960 na takriban miaka 20 baadaye suala la uhuru wa kkt mapenzi lilipamba moto na kuenea zaid ktk taifa la Marekan na baadhi ya mataifa Ulaya ikafikia hadi kupewa nguvu kwenye sheria zao hususun suala la ajira na uhuru wa mavazi kwa wanawake liwe huru kwao, ikumbukwe kabla ya mwaka 1960 concern kubwa ya wanawake wa kizungu ilikuwa ni usawa wa kijinsia ktk umiliki mali na upigaj kura, baada ya hayo wakakuza madai yao ktk ajira na uhuru wa mavazi na mambo mengine yanayohusiana na hayo

Usagaji ktk mwamvuli wa ajira na uhuru wa mavazi mabovu kwa wanawake ukachangia kuenea kwa usagaji mara dufu zaidi ya awali, serikali zikawa zinavuna kodi kutoka chanzo hicho na hatmaye kurasimishwa rasmi.

Phase 3.
Mnamo miaka ya 1980's mwanzon na 1990's mwanzon na ni kipindi ambacho midahalo/mijadala mingi ya inayohusu mapenzi ya jinsia moja hususan Kusagana imeshika kasi sana, hapo ndipo kwa uwaz zaidi waliibuka KUNDI LA WATETEZI NA WAHAMASISHAJI wa Kusagana wa mwanzo kabisa bila kificho, kundi hili likawa kubwa tuh, lakini kwa upande mwingine kukawa na kundi KUNDI LA KUPINGA usagaji

Katika phase hii ndipo penye mabadiliko mengi kuliko phase zilizotangulia, mapinduzi ya usagaji kwa mfumo wa vifaa flan flan, supporting porn videos etc vimekuwa kwa kas mnno maeneo mbalimbali dunian, Phase hii ndio inatuleta hadi wakati huu tulio nao sasa, wakati ambao ushoga na usagaji ktk jamii zetu hakosekani wa kuutetea au kuufanya! Very baaaad!!!

1. Wapingaji wa mwanzo wa Usagaji na Madai yao

Miongoni mwa wapingaji wakibwa walikuwa ni Andrea Dworkin, Cartherin MacKinon, Robin Morgan, Diana Russel, Alice Shwerze na Robert Jensen.

Wao wanaasema ushoga una madhara kwa wanawake lkn pia ni kisababishi kikubwa cha maradhi ya kuambikizwa ikiwepo UKIMWI ikizingatiwa kuwa ni tupu mbili zilizo wazi zinakutana, na mwisho wakasema usagaji hupelekea mgogoro mkubwa kwa wanawake wenyewe katka jamii

Catherin na Andrew wao wakaenda mbali zaidi na kusema Usagaji ni Bomu/Kilipuzi chenye kurithiwa na litakuja kuharib jamii kabisa na kuzitaka mamlaka za nchi zitunge sheria na kuwaweka hatiani na kuwapa adhabu kali wale wote watakafanya, zalisha/chapisha makala za ushoga na watakaosambaza, hapo kuna maelezo mengi lkn kiufupi ni kuwa mpango wao haukufanikiwa kwa asilimia kubwa kwa sababu mbalimbali ikiwepo jamii kubwa ya wanawake tayari walishakuwa wasagaji n.k

2. Watetezi wa mwanzo wa Usagaji na madai yao

Kundi hili lianza miaka ya 1890's na walikuwa takriban 26, (Samahan cntoweza kuorodhesha majina yote kwa kuwa Uzi utakuwa mrefu mno), mmoja katika wao alikuwa anaitwa Amber L Hollibaugh. Madai yao ya msingi ni kama yale nilioleza apo juu kweny phase ya pili na zaidi kidogo

Sababu za kuenea kwa usagaji Tanzania na Africa kwa Ujumla

Ukiachia sababu kuu za kiharakati kama nilovoeleza/chambua apo juu na zile za maendeleo ya kiuchumi na kijamii sababu nyingine ni kama ifuatavyo;

1. Scholarships kwa nchi za Kiafrica;
Sababu hii imetajwa kweny literature mbalimbal kama sababu, wanawale wa kizungu na Asia wamekuwa wakihitaji kundi kubwa la wanawake wenzao kusapot uovu wao, nyuma ya paazia wanatoa scholarship kupitia taasis mbalmbal znazoaminika hasa za kielimu ili kuwavuta wanawake kwenye nchi zao, pamoja na malengo yalianishwa kweny scholarship hupenyeza pia Ideas za usagaji, wako wanaonasika na kuwa wasagaji na wasionaswa wanabeba ideas na kutumwagia Africa mara warudipo nyumbani. Wanatumia njia ya scholaship ili waweze kuwashawish kweny mazingira yao na always wanafanikiwa, watu wa mpira wanakubaliana sana juu ya kauli inayosema '' Timu ya nyumbani ni rahis kushinda kweny uwanja wake kuliko timu ya ugenini''Other factors are always held constant, wanapomshawish mtu akiwa kweny mazingira yao ni rahic wao kufanikiwa kuliko wakiwa ugenini

2. Biological reasons na baadh ya maradhi
Vipo vichecheo/hormons vya kimwili zinazolazumisha kwa ipande flan mtu kuwa Msagaji kama ilivyo shoga, hormons hizo znapokuwa nyingi mwilin basi mwanamke automatically anakuwa na mawazo ya kisagaji na pengine huingia kweny Usagaji mazima

Kwa upande wa maradh ni kuwa kuna wanawake toka wamebaleghe dudu inapoingizwa kwenye taruma/papuchi husikia maumivu makali sana wakati wa tendo la ndoa hii kitaalam huitwa Vaginismus, baadhi ni maumiv wakt wa mwanzo tuu wanapoanza kushiriki tendo la ndoa na wanapoendelea miaka kadhaa baadae tatizo huenda likipungua ila wapo wengine ni throught their life na matibabu yamegonga mwamba

Kundi hili leny maumiv wakat wote wa maisha yao ndilo ambalo huangukia kwenye usagaji lkn cio wote ila asilimia kubwa, kwa kuwa kwa kusagana huic raha ya penzi bila kiungizwa kitu ndani

3. Sababu ya tatu ni familia ya yenye wanawake wengi, yaweza kuwa ya mama na mabinti wa 3 au zaidi alaf kibaya zaid wawe wanalala pamoja au chumba kimoja kwa sababu ya hali ngum kiuchumi huchangia kwa kias flan kuibua wasagaji iwe mijin au vijijini

4. Sababu nyingine ni baadhi ya zile nilizozitaja kweny uzi pacha uliotangulia unaohusu mashoga (kichwa chake cha habari nakiweka mwisho wa uzi huu). Sanabu hizo ni pamoja na Porn videos, kuoga pamoja kwa wanawake hasa mashulen au vyuoni, ugum wa maisha wawapo nje ya nchi au ndani, mob psychology n.k

Sababu nyingine niskie kutoka kwenu, karibun

#Ushauri wangu kwa jamii na Serikali kiujumla#

1. Kila mtanzania aendae nje ya nchi ni muhim kufuatiliwa nyenendo zake na achunguzemwe zaid arudioo nchini, hii itasaidia nanimkaja na fikra mbov ili kuweza kumdhibit mapema

2. Jamii yenyewe kufichua watu weny tabia hizi ili kuchukuliwa hatua zaidi, kuwe na dhabu kali sana (sheria iwe kali zaidi)

3. Aina flan ya websites na movies hasa zile zeny picha za utupu au ideas za utupu zipigwe marufuku na kufungiwa kabisa nchini

4. Kila point ina namna ake ya kuidhibit rejea zote na uproprose solutions

Ukiview usisahau kugonga like


Uzi uliotangulia unasomeka
Utamaduni wa Ushoga kwa Wanaume: Jinsi ulivyopenyezwa/kuenea Tanzania: Sababu 16 za Ushoga
 
majoto

majoto

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2013
Messages
1,679
Likes
1,885
Points
280
majoto

majoto

JF-Expert Member
Joined Jul 19, 2013
1,679 1,885 280
Sioni kama kuna sababu ya kujua ulianza lini na nani alianzisha. Cha maana hapa ni kwamba hiki kitu kipo na tukipinge vikali. Ingekuwa vema kama watu wataelekeza nguvu zao kuangamiza kitu hiki na sio kukipamba. Nasema hivi the way umeandika ni kama vile unatukuza vitendo hivi na unataka watu wavielewe na kuvikubali.

Noooo hatutaki ushoga wala usagaji.
 
mng'ato

mng'ato

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2014
Messages
10,936
Likes
9,982
Points
280
mng'ato

mng'ato

JF-Expert Member
Joined Oct 27, 2014
10,936 9,982 280
Jinsi wanaume walivo... Sometime napata mawazo ya kuwa lesbian ila naogopa
Tusamehe tu.. Wengine faraja ya mapenzi hatuipati.. Tunapenda kwelikweli ila unagundua mwenzio hayupo nawe kama unavofikiria..
Kuna demu lesbian humu jf anaitwa culturegal mtafute akusage mpk asubuhi.
 
Hornet

Hornet

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2013
Messages
14,477
Likes
11,369
Points
280
Hornet

Hornet

JF-Expert Member
Joined Apr 29, 2013
14,477 11,369 280
Jinsi wanaume walivo... Sometime napata mawazo ya kuwa lesbian ila naogopa
Tusamehe tu.. Wengine faraja ya mapenzi hatuipati.. Tunapenda kwelikweli ila unagundua mwenzio hayupo nawe kama unavofikiria..
Umenena
 
Bhagavan

Bhagavan

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2017
Messages
656
Likes
708
Points
180
Bhagavan

Bhagavan

JF-Expert Member
Joined Oct 28, 2017
656 708 180
Jinsi wanaume walivo... Sometime napata mawazo ya kuwa lesbian ila naogopa
Tusamehe tu.. Wengine faraja ya mapenzi hatuipati.. Tunapenda kwelikweli ila unagundua mwenzio hayupo nawe kama unavofikiria..
Tatizo lenu mkipenda eti unataka na wewe upendwe. Hapo utasubiri sana na kulia kila siku
 
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2011
Messages
58,656
Likes
23,640
Points
280
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2011
58,656 23,640 280
Hizo zote porojo. Usenge (ushoga) na usagaji chanzo chake kikuu ni majumba (makazi) yanayofuga wanaume peke yao na wasiruhusiwe kuoa na yanayofuga wanawake peke yao wasiruhusiwe kuolewa (usagaji).

Si unajuwa wapi yanapatikana hayo majumba?

Ataesema hayafahamu hayo majumba atakuwa ni punguani wa hali ya juu.
 
General Mangi

General Mangi

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2013
Messages
12,070
Likes
15,638
Points
280
General Mangi

General Mangi

JF-Expert Member
Joined Dec 21, 2013
12,070 15,638 280
Hizo zote porojo. Usenge (ushoga) na usagaji chanzo chake kikuu ni majumba (makazi) yanayofuga wanaume peke yao na wasiruhusiwe kuoa na yanayofuga wanawake peke yao wasiruhusiwe kuolewa (usagaji).

Si unajuwa wapi yanapatikana hayo majumba?

Ataesema hayafahamu hayo majumba atakuwa ni punguani wa hali ya juu.
Taratibu Dada,
Tumia busara kidogo.
 
demi

demi

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2016
Messages
10,927
Likes
20,143
Points
280
demi

demi

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2016
10,927 20,143 280
Jinsi wanaume walivo... Sometime napata mawazo ya kuwa lesbian ila naogopa
Tusamehe tu.. Wengine faraja ya mapenzi hatuipati.. Tunapenda kwelikweli ila unagundua mwenzio hayupo nawe kama unavofikiria..
Fact
 
APEFACE

APEFACE

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2016
Messages
2,554
Likes
2,708
Points
280
APEFACE

APEFACE

JF-Expert Member
Joined Oct 1, 2016
2,554 2,708 280
Hizo zote porojo. Usenge (ushoga) na usagaji chanzo chake kikuu ni majumba (makazi) yanayofuga wanaume peke yao na wasiruhusiwe kuoa na yanayofuga wanawake peke yao wasiruhusiwe kuolewa (usagaji).

Si unajuwa wapi yanapatikana hayo majumba?

Ataesema hayafahamu hayo majumba atakuwa ni punguani wa hali ya juu.
Hapa naona kama unataka kuleta uchochezi wa kidini......Brothers & Sisters (Mapadri na Masista)
 
culture gal

culture gal

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2017
Messages
5,151
Likes
8,310
Points
280
culture gal

culture gal

JF-Expert Member
Joined May 24, 2017
5,151 8,310 280
Jinsi wanaume walivo... Sometime napata mawazo ya kuwa lesbian ila naogopa
Tusamehe tu.. Wengine faraja ya mapenzi hatuipati.. Tunapenda kwelikweli ila unagundua mwenzio hayupo nawe kama unavofikiria..
Unaogopa nini Aggy, ukiona njia hii haipitiki badilisha tu after all happiness ni kila kitu and trust me a lesbian know how it feels to love, to touch, to care a woman since she is a woman too.
 
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2011
Messages
58,656
Likes
23,640
Points
280
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2011
58,656 23,640 280
Hapa naona kama unataka kuleta uchochezi wa kidini......Brothers & Sisters (Mapadri na Masista)
Hakuna uchochezi, ushahidi wa humuhumu kwenye mitandao upo mwingi tu. Ataependa au kubisha nitaweka.

Unasema "uchochezi wa kidini" unamaanisha kuna "dini" imehalalisha ushoga na usagaji?
 

Forum statistics

Threads 1,235,316
Members 474,525
Posts 29,218,240