Utamaduni wa Kusagana kwa Wanawake: Namna ulivyopenyezwa/Kuenea Afrika na sababu kadhaa za kuenea kwake Tanzania

Tatizo sio uzi wote ni matus yao, usitupe samaki wote kisa moja au wawili wameoza

Nataka niwakutanishe ili ni reconcile story mbili tatu
We kama unahitaji kukutana na Shoga nenda kakae nae uongee nae.
 
Sema dada sisi wengine hatujui mwaga ubuyu
Hizo zote porojo. Usenge (ushoga) na usagaji chanzo chake kikuu ni majumba (makazi) yanayofuga wanaume peke yao na wasiruhusiwe kuoa na yanayofuga wanawake peke yao wasiruhusiwe kuolewa (usagaji).

Si unajuwa wapi yanapatikana hayo majumba?

Ataesema hayafahamu hayo majumba atakuwa ni punguani wa hali ya juu.
 
Back
Top Bottom