Utamaduni wa Kusagana kwa Wanawake: Namna ulivyopenyezwa/Kuenea Afrika na sababu kadhaa za kuenea kwake Tanzania

Mnaposhindwa kujibu hoja na ukweli unapowaingia mnakimbilia kujificha kwenye "udini".
sio kujificha kwenye udini tatizo evidence mama haipoo!
hizo nyumba haimaanishi ndio zimeanzishwa kwa lengo hilo na hata kama kuna watu wanazitumia kwa mambo yao ni wachache sio wote,
kwani tukisema: biashara ya ngono chanzo chake ni umaskini, je wanawake wote masikini wanafanya biashara ya ngono?
Samaki mmoja akioza we mtupe tu wala usiseme wote wameooza,
 
Mga'ato na Johnson Meki, nataka niwakutanishe kama mpo Dar wote au mkoa flan wote ili.mmalize ugomv wenu, kiufupi watu hawafaidiki na matusi hayo ya nguon bila tafsida.. think b4 u write
Hahaha uwakutanishe wafanyaje, Random unazingua sasa teh teh... kiufupi mods waje wafute hayo matusi yao au kama uzi mzima ufutwe fresh tu sababu nilijua tu wanakoendea siko.
 
Hahaha uwakutanishe wafanyaje, Random unazingua sasa teh teh... kiufupi mods waje wafute hayo matusi yao au kama uzi mzima ufutwe fresh tu sababu nilijua tu wanakoendea siko.
Tatizo sio uzi wote ni matus yao, usitupe samaki wote kisa moja au wawili wameoza

Nataka niwakutanishe ili ni reconcile story mbili tatu
 
Back
Top Bottom