Utamaduni wa Kusagana kwa Wanawake: Namna ulivyopenyezwa/Kuenea Afrika na sababu kadhaa za kuenea kwake Tanzania

I rest my case ,nadhani wadau wa hapa JF wamejionea jinsi ilivyovamiwa na Mashoga.

Mkifuatwa huko PM sio wote ni wanawake,wengine ni mashoga kama nililokua nabishana nalo hapo juu.
wee LIZEE nae LIPUMBAVU. Unafikiri wakati naandika hizo posts nilikuwa nimekatwa kichwa?

Malengo ya kuandika posts ni watu wazisome. Ninajivunia post zangu zinazua mijadala mikali na ninashiriki kikamilifu kupangua hoja zote bila kubakiza.

Wakati tunajadili hoja wewe ulikuwa unafua sketi ya shule ndio maana unaleta makapi humu kumbe hujui kuwa huko ulipo mimi nilishamaliza kitambo.

Pole sana mzee. Utu uzima dawa. Hahaa
 
Kisheria ni ruksa wanaume wawili kupigana denda - JamiiForums
 
Sioni kama kuna sababu ya kujua ulianza lini na nani alianzisha. Cha maana hapa ni kwamba hiki kitu kipo na tukipinge vikali. Ingekuwa vema kama watu wataelekeza nguvu zao kuangamiza kitu hiki na sio kukipamba. Nasema hivi the way umeandika ni kama vile unatukuza vitendo hivi na unataka watu wavielewe na kuvikubali.

Noooo hatutaki ushoga wala usagaji.
I concur 100%
 
HOJA HAMNA HAPA ZIMEBAKI PUMBA TU. NILIKUWA NINA HAMU YA KUBISHANA LEO LAKINI MZUKA WOTE UMEKATA.

MAPUMBA TU ARRRRGHHHHH....
 
Hizo zote porojo. Usenge (ushoga) na usagaji chanzo chake kikuu ni majumba (makazi) yanayofuga wanaume peke yao na wasiruhusiwe kuoa na yanayofuga wanawake peke yao wasiruhusiwe kuolewa (usagaji).

Si unajuwa wapi yanapatikana hayo majumba?

Ataesema hayafahamu hayo majumba atakuwa ni punguani wa hali ya juu.
Sijawahi unga hoja yako mkono ila hapa nakuunga mkono umezungumza sawa sawa
 
Back
Top Bottom