Utamaduni wa Kusagana kwa Wanawake: Namna ulivyopenyezwa/Kuenea Afrika na sababu kadhaa za kuenea kwake Tanzania

Teh teh naona hii post yako kabla wadau hawajakushtukia,ukaifuta kiaina ila ukasahau original content haiko edited ulipokua quoted.

Shoga John humu JF hakuna mtu ana shida ya kula mwanaume wenzake nenda kajipange road hutakosa basha.

Je, mapenzi ya jinsia moja ni uchaguzi? - JamiiForums
We ZEE nae lala bhana huna point unanipotezea muda. Nataka champion mwingine mwenye hoja tupambane.... niko vizuri, yaani niko fitii kwa hoja, nataka wenye hoja nzito...
 
I rest my case ,nadhani wadau wa hapa JF wamejionea jinsi ilivyovamiwa na Mashoga.

Mkifuatwa huko PM sio wote ni wanawake,wengine ni mashoga kama nililokua nabishana nalo hapo juu.
 
Sioni kama kuna sababu ya kujua ulianza lini na nani alianzisha. Cha maana hapa ni kwamba hiki kitu kipo na tukipinge vikali. Ingekuwa vema kama watu wataelekeza nguvu zao kuangamiza kitu hiki na sio kukipamba. Nasema hivi the way umeandika ni kama vile unatukuza vitendo hivi na unataka watu wavielewe na kuvikubali.

Noooo hatutaki ushoga wala usagaji.
Njaa yatesa mkuu sio wao
 
Back
Top Bottom