Utake nini zaidi?

Haya ndio maisha ya uswazi kilakitu kinawezekana
 
Anaepajua hapo kama ni Dar., anielekeze nna begi langu limeharibika zipu.
 
Hahaaa uswazi kuna vituko..sasa hayo yote yanafanywa na mtu mmoja..?
 
Anaepajua hapo kama ni Dar., anielekeze nna begi langu limeharibika zipu.
Tena hiyo walikua wameisahau si unaona ilivyoandikwa hapo mwishoni....usishangae ukifika wakabaki wanashangaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…