Utajuaje Kua Umemridhisha Mpenzi

Utajuaje Kua Umemridhisha Mpenzi

BUMIJA

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2011
Posts
6,249
Reaction score
11,924
Utajuaje kua Manzi wako katika kufanya mpenzi katika Mawenzi.Wengine hawana dalili zozote kabisa.Wengine ukiwapa hela wanapiga makelele hadi majirani wanasikia hata kama hawajafika Mawenzi.Sasa wasanii hawa nao ni watata kujua kama safari yao iko wapi.
 
[QUOabashTE=Doto Dotto;13966881]Mtu akila akashiba anajulikana tuu. wala haina haja kumuuliza[/QUOTE]

Me Nashindwa kuwajua kabisa
 
Kama ushampa hela unataka aridhike ili iweje????????

Jipe jukumu moja, la kugawa pesa na kusikiliza kelele, waachie wengine wamtosheleze.

kuliridhisha sahau sahau hiyo ni nadra.
 
ukiona kotoa yale maji yanayoruka kama maji ya fire hapo hakuna ufake ila ukiona unaungurumisha anakukodolea mijicho mkuu ujue siku yako ya kuumbuka ndio hiyo take care
 
Muulize boyfriend wake au mwanaume msaidizi wakati akiwa na kiu na wewe uko 'bize!'
 
Utajuaje Kua Manzi Wako Kafika Mawenzi Katika Mechi.Wengine Hawana Dalili Zozote Kabisa.Wengine Ukiwapa Hela Wanapiga Makelele Hadi Majirani Wanasikia Hata Kama Hawajafika Mawenzi.Sasa Wasanii Hawa Nao Ni Watata Kujua Kama Safari Yao Ikwapi.

Nimfikishe kileleni kwani mimi lift?
 
ukiona kotoa yale maji yanayoruka kama maji ya fire hapo hakuna ufake ila ukiona unaungurumisha anakukodolea mijicho mkuu ujue siku yako ya kuumbuka ndio hiyo take care

kuumbuka....??,,,,,,,kwahiyo asiporidhika wewe unaumbuka,sikwamba tatizo liko kwake?
 
Huwezi jua,
Many women fake Orgasm.
Na unakuta anakusifia kweli unajua na wewe unatoa mimacho kama nguchiro unajiona mjanja kumbe pimbi tu.
Hujui mapenzi unaongea kama mwanasiasa tu nje kabisa ya taluma ya mapenzi pole...
 
Hujui mapenzi unaongea kama mwanasiasa tu nje kabisa ya taluma ya mapenzi pole...

Acha upimbi wewe,...
Mmi sijaongelea mapenzi nimeongelea ngono.(sexual contact)
Mapenzi SIYO NGONO,...
Mtoa maada kazungumzia SEX not LOVE.
Kilaza kweli wewe.
 
Back
Top Bottom