Tobaaaaaa!!! Umenielewa vibaya naamini, suala la kutosheka ni rahisi ila kufika kileleni si rahisi kama mjuavyo,
Ita wanawake 100 waliokua na wapenzi tofauti, walifanya tendo si chini ya miaka 5, waulize wangapi wamewahi kufika kileleni naamini hata 20 hawatofika katika watakao sema wanajua kufika kileleni kunanogaje.
Kifupi wengi wanajua kutosheka kwakua mwanamke yeyote hutosheka ila kwa climax huko habari nyingine, na mwanamke hawezi jua kufika kwa climax hadi itokee afike ndio anaweza kutofautisha kua hii niA na hii 1. Zaidi ni kutosheka tu.
Nina uthingizi nisije kuandika madudu hapa.