Utajuaje kama mwanaume katoka nje ya ndoa?

Atakuwa anashtuka shtuka hajiamini mf.
Amezoea akija hakusalimii mpaka umuanze ila akiwa na wewe anajipendekeza mke wangu umependezaa leo mmeshindaje na wengine huzidisha upendo wengine hupunguza nakuwa na hasira nakutafuta futa watoto ukimdai matumizii anajawa na jazba ile ingine iko wapi uliitumiaje anakuwa mchumi sana.
 
Atakuwa anashtuka shtuka hajiamini mf.
Amezoea akija hakusalimii mpaka umuanze ila akiwa na wewe anajipendekeza mke wangu umependezaa leo mmeshindaje na wengine huzidisha upendo wengine hupunguza nakuwa na hasira nakutafuta futa watoto ukimdai matumizii anajawa na jazba ile ingine iko wapi uliitumiaje anakuwa mchumi sana.
hapo unazungumzia wale juniors kabisa.....akiwa mkongwe kidogo tu humpati kiboya hivyo!
MEN ARE POLYGAMOUS IN NATURE!
 
wala usihangaike utafiti unasema kati ya wanaume 10, 7 wanamichepuko wee mkumbatie tuu akupe haki ya msingi.........ya kukukuna aje home kwa wakati i mean akuheshimu wanaume wameumbwa kwa matamanio walahi hata atoke kushuka kifuani mwako saa hiyo hiyo akikatiza gigy mane kavaa kihasara anamtamani ................jitahidi kumfanyia mambo ambayo atakuwa anakutamani anakuwaza na kukukumbuka hata akichepuka anajishtukia na kujiheshimu


pole sana
Nashukuru kwa kulitambua hilo mkuu.Wote mngekuwa hivyo.....amani teeeele majumbani.
 
Kuna mbinu toto langu moja lilifanyaga akanipatia kweli kweli basi tu nilimkazia na ubabe juu. Ila alinipatia. Mbinu siisemi maana hiyo ni hatari kwa ndoa.
 
Mmmmh hapo sidhani kama uwezekano upo koz hata akitoka kazini jioni akapitia mahali kwa lisaa limoja akija nyumbani ana uwezo na kwenda kasi ile ile so access ya week nzima ndio kabisa ngumu kugundua
 
Habari, bila shaka mu wazima.

Swali langu ni je utajuaje kama mwanaume katoka nje ya ndoa pindi mkikutana baada ya wiki moja au zaidi?
Habari, bila shaka mu wazima.

Swali langu ni je utajuaje kama mwanaume katoka nje ya ndoa pindi mkikutana baada ya wiki moja au zaidi?
baada ya wiki moja? embu scga utani unaweza kumgundua baada ya lisaa tigauti na hapo unajidanganya labda mwenzio kama ni wale wenye tu dushe twa kupepea,

ukitaka kujua fatilia huwa mkimslizaga cha kwanza anachukua mda gani cha pili? nijuavyo kuna wanaume wamebalikiwa yaan husumbuki kumwandaa yeye akikuons tu dushe turiiiiiiiiiii wima sasa hapo unaanda nn?

mwanaume ambae ni mwanaume haswaa lisaa limoja baada ya tendo anarudi kuwa fiti as if hajafanya chochote, bi zeya weitingi ns week
 
Wala hutokaa ujue, labda umfumanie nayo hiyo ni1%. We amini tu kuwa hajawahi kukusaliti
 
Habari, bila shaka mu wazima.

Swali langu ni je utajuaje kama mwanaume katoka nje ya ndoa pindi mkikutana baada ya wiki moja au zaidi?
Ataisigina kisawasawa...ila usitafute matatizo yaache yaje yenyewe, BTW usimchunguze sana bhata, hutakaa ule nyama yake....asali ni tamu sana lakini unajua mojawapo ya material yake ni kinyesi?
 
Unataka ujue? Ukijua inakusaidia nini? Ukijua utainusuru ndoa yako Au utaharibu, unahis unauwezo wa kumuacha Au Ukijua utalia na kugombana tu.
Binafsi Kuna mambo staki kujua Yani yeye ndo anifanye nijue sio niyatafute mwenyewe. Cha kujiumiza kama unawatoto ushindwe kuwalea vizuri kisa nn. Mwanaume kama anakujali anaijali familia anajiheshimu hakujiii usiku hamna dalili zozote za kuisumbua familia unataka ujue ili nini. Mm Mwanaume akichepuka akaweza kufanya nisijue akaweka mipaka kati ya familia na mchepuko sina haja ya kumfatilia. Ndugu achaana na hawa watu. Wape uhuru wakumbushe majukumu yao na mipaka yao. Otherwise utakufa uwaache wanao. Haiihitaji hasira
Daah umeongea ukwel mtupu mpka nafikiria kukaacha kimchepuko changu
 
Wanawake wenyewe wanasaka wanaume kwa udi uvumba.Hasa wakati ambao wewe ukiwa umeamua kutulia na mwenzi wako umeshafanya maamuzi ya kuoa au umeoa . Hata waliokukataa hurudi wenyewe kwa speed.Hutafuta namba zako kwa udi na uvumba,wanawake wanahamasisha wenyewe na wanapenda wanaume waliooa na kutulia kwenye ndoa zao.Kwa hiyo chanzo cha wanaume wengi kuchepuka ni wanawake wenyewe.
 
Back
Top Bottom