Senee
JF-Expert Member
- Nov 16, 2015
- 954
- 1,054
Beyond impossible?We ni mwanaume? Nijibu kwanza ndipo niseme sababu. Kupiz in 3 min is beyond impossible
Watu wakifanya cha cha cha cha cha, kitu hikoooo we unasema beyond impossible
Beyond impossible?We ni mwanaume? Nijibu kwanza ndipo niseme sababu. Kupiz in 3 min is beyond impossible
Ataisigina kisawasawa...ila usitafute matatizo yaache yaje yenyewe, BTW usimchunguze sana bhata, hutakaa ule nyama yake....asali ni tamu sana lakini unajua mojawapo ya material yake ni kinyesi?
teh teh hiyo mashine ingekuwepo tusinge chepukaa[emoji23] [emoji23]Tafuta kifaa kinaitwa uchepukameter...kina pima hadi idadi ya magoli
Kuchepuka tungechepuka tu mku..ukimwi unaua vifaa kibao tena kupima bure watu hampimiteh teh hiyo mashine ingekuwepo tusinge chepukaa[emoji23] [emoji23]
Unatakiwa ujicontrol mwenyewe maana ukinenepa Sana utakosa mvuto Na kushndwa kukata kiuno freshyhahahaha usicheke sasa unacheka nini mwenyewe unilishe, uninenepesha halafu unikimbie ETI SIKURIDHISHI tehetehe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] najiachiaUnatakiwa ujicontrol mwenyewe maana ukinenepa Sana utakosa mvuto Na kushndwa kukata kiuno freshy
Natamani wanawake wote wangekuwa kama wewe.wala usihangaike utafiti unasema kati ya wanaume 10, 7 wanamichepuko wee mkumbatie tuu akupe haki ya msingi.........ya kukukuna aje home kwa wakati i mean akuheshimu wanaume wameumbwa kwa matamanio walahi hata atoke kushuka kifuani mwako saa hiyo hiyo akikatiza gigy mane kavaa kihasara anamtamani ................jitahidi kumfanyia mambo ambayo atakuwa anakutamani anakuwaza na kukukumbuka hata akichepuka anajishtukia na kujiheshimu
pole sana
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] nina wivu sana ila nimejifunza Na siku hizi naweza hayo niliyosema moyo kwatuuuNatamani wanawake wote wangekuwa kama wewe.
Nikipata mke nitamleta kwako kwa seminar.[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] nina wivu sana ila nimejifunza Na siku hizi naweza hayo niliyosema moyo kwatuuu
Hahaha uwiiNikipata mke nitamleta kwako kwa seminar.
hata mimi nimeliona hilounataka ujipe stroke
Unatafuta maradhi ya moyo tu aiseeeeHabari, bila shaka mu wazima.
Swali langu ni je utajuaje kama mwanaume katoka nje ya ndoa pindi mkikutana baada ya wiki moja au zaidi?