Utajuaje kama mwanaume katoka nje ya ndoa?

Utajuaje kama mwanaume katoka nje ya ndoa?

ukitaka kujua angalia kama mlango umefungwa
 
Baada ya wiki sio rahisi kujua kwa sababu manii za mwanaume itakuwa imeshajaa vyakutosha. Lakini akichepuka ndani ya siku 2 ~3 km we mjanja utamjua tu, kwanza hana mchecheto sana, afu manii inayotoka ni kidogo sana tofauti na ulivyomzoea mtu wako
 
Mwanaume akiwa anapiga huku na huku nguvu pia haziwi ka mwanzo

Wakati wa mgegedo akishakojoa mwambie hapohapo achomeke tena, utaona tu, na akijitahd kukojoa mwambie unataka tena, akishindwa pigia mstari
 
Jifunze kuangalia kiwango chake cha shahawa anapokua hajakutana ndani ya wiki, siku nk. Ukijua kucheza vizuri na hiyo mara nyingi utagundua kama unacheatiwa. Ukiona sperms legelege wakati hujampa mzee zigo, jua washazikamua wajanja.
 
Mwanaume akiwa anapiga huku na huku nguvu pia haziwi ka mwanzo

Wakati wa mgegedo akishakojoa mwambie hapohapo achomeke tena, utaona tu, na akijitahd kukojoa mwambie unataka tena, akishindwa pigia mstari

Sio kweli
 
Uko mbioni kuachika sababu huelewi ni kitu gani mwanaume wako anataka!
 
Back
Top Bottom