Utajuaje kama mwanaume katoka nje ya ndoa?

Utajuaje kama mwanaume katoka nje ya ndoa?

Sasa kwani kitambi anatengeneza nani c mume Na mapochopocho [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] ntakupasua
Piga 4g.a.k.a kamzi n ga kon ya g gi.uone kitambi.unagida mibia serengeti safari ndovu mpaka farasi beer kitumbo lazima
 
wala usihangaike utafiti unasema kati ya wanaume 10, 7 wanamichepuko wee mkumbatie tuu akupe haki ya msingi.........ya kukukuna aje home kwa wakati i mean akuheshimu wanaume wameumbwa kwa matamanio walahi hata atoke kushuka kifuani mwako saa hiyo hiyo akikatiza gigy mane kavaa kihasara anamtamani ................jitahidi kumfanyia mambo ambayo atakuwa anakutamani anakuwaza na kukukumbuka hata akichepuka anajishtukia na kujiheshimu


pole sana
jitahidi kumfanyia mambo ambayo atakuwa anakutamani anakuwaza na kukukumbuka hata akichepuka anajishtukia na kujiheshimu-hasa huduma ya KABANG!
 
jitahidi kumfanyia mambo ambayo atakuwa anakutamani anakuwaza na kukukumbuka hata akichepuka anajishtukia na kujiheshimu-hasa huduma ya KABANG!
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji482] [emoji482] [emoji482] [emoji482] [emoji482] [emoji483] [emoji483]
 
Unataka ujue? Ukijua inakusaidia nini? Ukijua utainusuru ndoa yako Au utaharibu, unahis unauwezo wa kumuacha Au Ukijua utalia na kugombana tu.
Binafsi Kuna mambo staki kujua Yani yeye ndo anifanye nijue sio niyatafute mwenyewe. Cha kujiumiza kama unawatoto ushindwe kuwalea vizuri kisa nn. Mwanaume kama anakujali anaijali familia anajiheshimu hakujiii usiku hamna dalili zozote za kuisumbua familia unataka ujue ili nini. Mm Mwanaume akichepuka akaweza kufanya nisijue akaweka mipaka kati ya familia na mchepuko sina haja ya kumfatilia. Ndugu achaana na hawa watu. Wape uhuru wakumbushe majukumu yao na mipaka yao. Otherwise utakufa uwaache wanao. Haiihitaji hasira
 
Duu kumbe wee demu??..yaani huwa unakuwaga na komenti za kidume dume humu nikadhani dume!! .kama we dem basi haina noma nikipata muda ntaku pm nikutongoze!
Ni demu wa Arusha..anakaa Sakina..maeneo ya Whiterose hapo nyuma ya Triple A....karibu na kwa akina Kibakuli
 
Back
Top Bottom