utajisikiaje utakapopata sms kama hii asubuhi na mapema kutoka kwa mpenzi wako wa kike

Na hata mimi mwanamke wa kitandani tu simtaki, mahusiano ni zaidi ya kulala pamoja, kama najua kabisa huu mzigo ni wife material na unanipenda kweli hata milion omba nitakutumia hata kama sina nitakopa, but mwanamke wa bata tu tuliokutana kimjini mjini umezimikia mkoko... He he he utaisoma namba hata 10 sikupi kizembe zembe nikupe nafasi ujikajitambe umenichuna,,, kavu kavu nakujibu sina, as juzi kati tu kuna kicheche cha chuo kilinipiga mzinga nikakijibu sina kikajifanya kuuchuna na mimi nikauchuna, jana kimenipigia eti leo kinakuja geto tuongee maana anajua simpendi, sasa sijui anafata nini kama hapendwi
maisha kusaidiana bwana ndo maana ya watu kuwa pamoja sio mtu unaomba ka laki unakuja kuazisha mthread huku...laki kitu gani bwanaaa
 
kwahiyo pesa ndio kila kitu? Mbona kuna mengi ya kusaidiana jamani..
mengi ya kusaidiana yepi hata ilo la laki si jambo la kusaidiana pia?
mimi wanaume bahili bahili huwa hamkatizi mbele yangu...
ngoja nimuwai baby wangu nikachukue laki saba za shoping kesho ...walilia laki jf?
 
mimi kweli kama mwanaume hawezikunisaidia wakati nina shida...siwezi kukaa nae..
mwanaume wa kitandani tu wa nini?
maisha ni mambo mengi .hapo

hii itakuwa meaningful iwapo itakata both ways
 
si unampa?
Mimi kweli kama mwanaume hawezikunisaidia wakati nina shida...siwezi kukaa nae..
Mwanaume wa kitandani tu wa nini?
Maisha ni mambo mengi .hapo kitandani ni bonus tu..
Laki kitu gani laki si pesa...
mimi nashindwa kusoma ulichokiandika kutokana na hiyo picha yako
 
Kama laki ndogo si amuombe babaake tu?! Mi nampa yale ambayo wazazi wake hawawezi kumtimizia! Hii habari ya kulia minge pesa zangu hapana kwa kweli....! Haaahaaaa.
Mkuu hebu rekebisha kauli yako, hivi unaweza kumpa binti kitu ambacho Baba yake hawezi kumtimizia? mpaka wewe unamuona na ukampenda unajuwa Baba yake ame sacrifice vingapi mpaka wewe umemtamani bintiye?

Mimi nikipata msg kama hiyo fasta natuma M-Pesa laki mbili na Air time ya shilling elfu kumi ili awe na access ya kupiga simu na siyo kutuma msg, na kama ni msg basi ziwe ni Romantic msg tu.

Kumbe humu kuna mijitu mibahili kwelikweli!!.....kama mnaona kumgharamia mchuchu wako ni ghali nenda kanunuwe mademu wa viwanja. Ni nani aliyewaambia kuna mbunye za mazoezi?
 
NDO MAANA NAKUPENDA Matola ...hebu waambie wanaume wenzio .....
 
Last edited by a moderator:
inategemea na uhusiano wenu uko kwenye phase gani vinginevyo itakuwa ni true love for business na huu mfumko wa bei mmh! labda niuze kale ka tv kangu
 
Kama unayo na unampenda then mpatie,kwani tatizo li kwapi?mwanaume mzima laki inakutoa jasho??kha!
 
kwa sasa hivi laki sio pesa nyingi kihivyo soo kama tuna uhusiano nampa lakini kama tumeanza kuwasiliana hata siku mbili bado anaomba laki, simpi
 
mwanaume wa kitandani tu wa nini?
maisha ni mambo mengi .hapo kitandani ni bonus tu..
laki kitu gani laki si pesa...

Mapenzi ya kujikimu hayo = commercial sexual act,
cha kushangaza wadada wanaofanya biashara ya kujiuza, wengi ni wenye uwezo na wasomi, kila mtu kwa level yake, ili kupata fedha au favour fulani, wale wanaojiuza barabarani, kwenye kumbi za starehe na ktk madanguro ni wajasirimali wadogowadogo " wamachinga wa kujiuza".
 
Dharula haina hodi ulitaka akuombe saa ngapi? saa 12 asubuhi bado umelala we ni mwanaume mvivu.
 
Na hata mimi mwanamke wa kitandani tu simtaki, mahusiano ni zaidi ya kulala pamoja, kama najua kabisa huu mzigo ni wife material na unanipenda kweli hata milion omba nitakutumia hata kama sina nitakopa, but mwanamke wa bata tu tuliokutana kimjini mjini umezimikia mkoko... He he he utaisoma namba hata 10 sikupi kizembe zembe nikupe nafasi ujikajitambe umenichuna,,, kavu kavu nakujibu sina, as juzi kati tu kuna kicheche cha chuo kilinipiga mzinga nikakijibu sina kikajifanya kuuchuna na mimi nikauchuna, jana kimenipigia eti leo kinakuja geto tuongee maana anajua simpendi, sasa sijui anafata nini kama hapendwi

uko right kabisa! Yaan we ndo umenihamasisha kuingiza maneno yangu hapa!
Af ukimuuliza matumiz ya laki hana cha msingi!! Otherwise no coment!
 
uko right kabisa! Yaan we ndo umenihamasisha kuingiza maneno yangu hapa!
Af ukimuuliza matumiz ya laki hana cha msingi!! Otherwise no coment!

kwanza imefikia vipi mpaka akakopa bila kunishirikisha?
 
mengi ya kusaidiana yepi hata ilo la laki si jambo la kusaidiana pia?
mimi wanaume bahili bahili huwa hamkatizi mbele yangu...
ngoja nimuwai baby wangu nikachukue laki saba za shoping kesho ...walilia laki jf?

Shauri lako utaishiwa kuchezewa mwisho wa siku unabwagwa we shobokea pesa za wanaume..kama laki ndogo si utafute yako ebo!
 
Back
Top Bottom