utajisikiaje utakapopata sms kama hii asubuhi na mapema kutoka kwa mpenzi wako wa kike

si unampa?
mimi kweli kama mwanaume hawezikunisaidia wakati nina shida...siwezi kukaa nae..
mwanaume wa kitandani tu wa nini?
maisha ni mambo mengi .hapo kitandani ni bonus tu..
laki kitu gani laki si pesa...
jamani tuoneeni huruma watoto wa kiume,maisha yamekuwa magumu ati.
 
mimi ilishanitokea ilibidi nitoe kwa tatizo alilokuwa nalo kiubinadamu. Mama yake aliwekwa selo na wanawake wenzake kwa kushindwa kurejesha mkopo wao.

Demu wangu aliniomba laki moja ili kulipa deni la mama yake, sio kwamba nilikuwa na pesa nyingi but huruma ya kibinaadamu
 
si unampa?
mimi kweli kama mwanaume hawezikunisaidia wakati nina shida...siwezi kukaa nae..
mwanaume wa kitandani tu wa nini?
maisha ni mambo mengi .hapo kitandani ni bonus tu..
laki kitu gani laki si pesa...

LAKI SIO PESA bwana kama ni mpenzi ambaye tunaishi kwa nidhamu na hana kawaida ya kunitumia kama atm nampa tu mambo mengine haina haja ya kucomplicate ndo maana mi nasema MAPENZI YA KIBONGO MAGUMU KWA VILE TUNA NJAA.
 
Itategemea na aina ya mahusiano mliyo nayo,kama ni mpenzi wako wa hali zote hapo sawa ila kama ni mtu pesa itakuwa ngumu.
 
Mkuu hebu rekebisha kauli yako, hivi unaweza kumpa binti kitu ambacho Baba yake hawezi kumtimizia? mpaka wewe unamuona na ukampenda unajuwa Baba yake ame sacrifice vingapi mpaka wewe umemtamani bintiye?

Mimi nikipata msg kama hiyo fasta natuma M-Pesa laki mbili na Air time ya shilling elfu kumi ili awe na access ya kupiga simu na siyo kutuma msg, na kama ni msg basi ziwe ni Romantic msg tu.

Kumbe humu kuna mijitu mibahili kwelikweli!!.....kama mnaona kumgharamia mchuchu wako ni ghali nenda kanunuwe mademu wa viwanja. Ni nani aliyewaambia kuna mbunye za mazoezi?

khaaaaaah!!
 
kama nashida nisiseme mpk nisubirie mtu aamke?...mbona ni kitu cha kawaida tu....
 
Jamani wadau laki moja tu? Kama wife material na through her actions najua ananipenda, hata kama sina nitakopa popote nimtumie, but kama ndo wale macho juu juu, nitamjib tutaongea badae... Ila laki moja kwa mtu nitayemlipia mahali mamilion... Laki kitu gani hata milion nitakopa but kwa sababu inayoeleweka....

Vinchenchede thubuutu wataisoma namba maana sichelewi kumjibu mi mwenyewe nilikuwa nataka nikuazime laki 2 nimepata ajali

roho mbaya si msingi useme ujenge ufaidike
roho mbaya haijengi kila siku hubomoa..
mwanahawa alii na jahazi modern taraab
am out..
 
Back
Top Bottom