Utajisikiaje na utazuga vipi?

Wafunike shuka! Kama vipi kula wa mbuzi tu uchune uso!
Kwani kati yenu kuna aliyewaita waje kukulana hapo?
Aibu za kinafiki tupa kulee!
Huyo mkweo alimzaa vipi huyo uliemuoa/aliekuoa kabla hajazungusha miuno ?
Kula kabnyau tu! Kwa macho makavu.

Binadamu wameumbwa na aibu mkuu
 
utakuta hata kuwafukuza ishu,kama mbwa si unajua wanagandiana

Bata pia ucpime! Wanatingishanatingishana, wanalengana target, halafu wanafyatua huku wakichombezana kwa mguno wa Haaaaaaah
 
Nitasema goooooooooo hi gemu tam sana yani ya fastafasta .mkwe ngoja nikaonane na mwanao kuna mazungumzo ghafla
 
Jali haki za wanyama mkuu



Hayo mambo yenu ya haki za wanyama ndio mnawafanya wakose adabu,ukishawatandika mawe watajua kabisa kutafuta faragha wakijisikia kujamiiana na hii adha ya kuaibishana mbele ya wakwe haitotokea,hakuna mnyama asiyeelewa wala kujifunza..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom